Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,423
In my view tunahitaji mtu mwingine kwa nafasi ya Mitchy Batshuayi....na mtu huyo awe mmoja kati ya Tammy Abraham au Betrand Traore! Hawa madogo watasaidia kwenye FA, EFL, na ligi mara moja moja.
LA SIVYO..tuachane na habari ya kutafuta Striker..kama Costa ataondoka kweli basi tumchukue Sanchez..tucheze kama Spain na hao madogo warudishwe kikosini. Msimu ujao tutakuwa na mechi nyingi za kutosha.
Pale kati kwa Matic kwa kuwa tushampata Makelele hatuhitaji saana kuwa na Matic...tunahitaji mtu wa calibre ya Fabregas.
Defence...Cahill!!!! Sio mbaya ila...
Tamy washasema anasainishwa mkataba mnono kumuepusha na tamaa za kwenda timu nyingine lakini wamesema watampima kwenye PL kwa mkopo..... Traore Naona arudi tu apewe Namba dogo yupo kasi Sana..... Kuhusu andre chrstiasen nayeye angerudi ameshaiva,,, kuna Lewis beker nayeye mzuri sana, wachezaji watakao cheza play off champion ship ni Izzy brown hudesfield, Lucas piazon na Kalas fullham wote wapo vizuri
