simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,590
Chelsea kutangazwa bing'wa May 12. No ubishi. Wenye wivu wajinyonge tu.
spars hawezi kufa kw hao vilaza manure, labda kw leicester .......... mechi nilizokua natabiria zitakua ngumu kw spars ilikua ni ya Arsenal, westham na leceister sio hao vilaza.Spurs hata afanyaje hawez kwanza anakufa kwa man u then kwa leicetar
usijitangaze nawe yanaweza kukukuta kama ya spurOyoooo mabingwaaaa
Mechi 4 point 16? Kila mechi point 4?Mechi Tatu tu ila inabidi tuweke rekodi ya point nyingi yaani 97 kwa msimu
Mechi 4 point 16
mhhhh mkuu kwa epl adui yako,mwombee njaa spurs kupigwa imekua rahisi kwetuMi fans mkubwa blues ila sjapenda tot kupigw inapunguza msisimuko
Maishaaa ..haitakaa itokeeeusijitangaze nawe yanaweza kukukuta kama ya spur
Hahaha umesahau na klop pia alishawaitoa maneno kama hayo miezi hiyo iliyopita. Liva ilipunguza gap hadi point tatu ndo jama akaanza kuropoka kuwa washabiki wa Chelsea wanaumia sana pale anapokua anashindaKocha wa Tottenham alisema kuwa anatupa wakati mgumu je sasa kiko wapi..?
Ajumuike nasi katika ubingwa
Jirani zetu wanagonga nyundo kwa roho mbaya![]()
![]()
![]()
Moja tu imoooooo
mkuu naona unamzuka sana .huu ubingwa ni wetu vp mbona sijaona haters leo ,wamepotelea wapi?
Mkuu msisimko wa kwamba ligi itapoa. Hapana, Conte na Vijana wake mziki upo palepale tushinde ligi mapema tujiandae na FA. Mechi mbili za mwisho kama alivyosema mkuu Mentor weka vijana tu, wakubwa wanaingia mwisho kupasha tuMi fans mkubwa blues ila sjapenda tot kupigw inapunguza msisimuko
maskin man u. sikuiz ninyi ni wa kusema haya?ubingwa wa Europa ni big deal pia

Yuko sahihi,.. Mimi binafsi namuelewa Sana Cesc.."Nitavunja shingo kubaki na Cesc"
Mchezaji na kocha msaidizi wa zamani wa klabu ya Chelsea Ray Wilkins amewaomba Chelsea wafanye kila wawezalo kubaki na Cesc Fabregas, akisema kwamba Muhispania huyo atakuwa muhimu sana kwenye kampeni ya UEFA kwa Chelsea msimu ujao.
"Utakuwa unacheza UEFA msimu ujao na unahitaji ule ubunifu na uzoefu wa mtu kama Cesc" Alisema Wilkins.
"Naweza kuelewa chaguo la Antonio Conte anapoamua kuwapanga Nemanja Matic na N'Golo Kante mbele ya mabeki watano. Lakini unapokuwa na Cesc,muda wote anautaka mpira na kutengeza nafasi."
"Sio kuhusu pesa - anataka kucheza soka tu. Atapata hiyo nafasi msimu ujao. Ni matumaini yangu awe na huo uvumilivu. Na Chelsea na kusonga mbele kwenye hatua za juu za UEFA msimu ujao lazima watahitaji ubunifu na ufundi wa Cesc ambapo katika kikosi cha Chelsea naamini yupo yeye mwenyewe tu mwenye uwezo huo. Huwezi kumuacha aondoke."![]()
Kabisa mkuu kilichobaki tusipoteze game zilizo baki huku tukimwombea njaa spars.Westham wameturahisishia kazi huko