ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Duuuh mkuu kweli hutupendi aiseee....ila sisi twaona tufanye kazi zetu wnyewe, hapa twamuwaza Boro kwanza. Siku tunacheza na WBA vijana watakuwa na hali ngumu kwa Man UTD.
hamna ugumu hapo wala nini,hao viwete hawawezi msimamisha spars, game rahisi sanaa kw spars .......... cha msingi ni kumchapa tu kila anaekatisha kwenye imaya yetu.
