Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni Spurs wanashambulia lakini pasi zao karibu na goli huishia miguuni mwa mabeki wa Chelsea
 
Chelsea ina wachezaji 9 wanalinda goli kuwafunga ni kuagizia lakini hizi pasi fupifupi ni kupoteza muda
 
Chelsea wanachezewa nusu uwanja hii siyo dalili nzuri kwao kwani wakifungwa kujinasua kwa kutomiliki mpira itakuwa ngumu labda Chelsea watangulie tena kufunga jingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom