Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

leo Arsenal wanaweza wakashinda 6 -0. sio mbaya kumaliza kwa historia hata kama sio bingwa!!!
pole balantanda!!!
 
Hope wamejifunza mwaka huu.......labda tutakuja kivingine mwakani...fingers crossed......heheeeeeeeee
Naungana na wewe lazima mje kivingine next season unakaribishwa darajani kupata mbuzi kidogo baadae.
 
Naungana na wewe lazima mje kivingine next season unakaribishwa darajani kupata mbuzi kidogo baadae.

Asante jirani..nitakaribia kwa kweli..angalau ubingwa unabaki London..........na hauendi 'mkoani'...hahaaaaaaaaaaaa
 
Hahaaaaaaaa,Chelsea 3 Wigan 0....Kalou......Man U nao wameongeza la 3...Stoke wanajifunga......leo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom