Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Aisee iwe isiwe sisi ndio mabingwa msimu huu. Tumecheza michezo 18 tumepata sare mbili na kupoteza michezo mitatu. Sioni namna Ktk hii michezo 15 iliyobaki tukapoteza michezo tena. Tunamaliza na Arsenal leo then hizi big zitabaki mbili tu na ziko mbali mbali sn Ktk fixtures. Sasa Ktk hizi team ndogo lazima tuzifunge snJamani tupunguze utani, bado ni mapema sana kujihesabu mabingwa wa epl msimu huu (2016/17). Bado gemu 15 (including ya leo dhidi ya Gunners). Ili kuwa bingwa Chelsea anahitaji pointi 37 kwenye gemu 15 zilizosalia! Vijana wa Conte wasibweteke, wakaze buti sana ili watupe raha!
️
