Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

sidhani kama kuna mtu anafuraha humu kama yangu yaani tunachukua kikombe this year with new manager Mungu anipe nini mwaka huu tena tukiwa tumeshika nafasi ya 10 last season
 
Habari wakuu. Mechi yetu ya jana ilikuwa na makosa madogo madogo ambayo imetukost kwa kiasi fulani. Mfano wachezaji wetu walikuwa wanapoteza mipira kirahisi. Pia Costa hakuwa katika mudi ya mchezo hata alivyo pewa penati tayri alikwisha panic so ikapelekea kuukosa kwa urahisi sana.
All in all draw ni advantage kwetu na pia itaturudisha katika hali ya ushindani pale darajani tutakapo kutana na vijana wa wenger. Meanwhile bado tupo mbele kwa points 9 clear. Niwatakieni asubuhi njema na kazi njem #comeonechelsea#
 
Ilibidi apige yeye kwasababu siku hizi penalty shooter wetu Hazard alikua ameahatoka nje.

So far there is no reason to blem him cause Gunners na Spurs wameboronga.

9 points on top clear kabisa
Mkuu Ntuzu, nilipoona anayepiga penati ni Diego moyo ulipata shock kidogo! Nilitamani apige David Luiz.
 
Hizi ahadi zako tumezioea kila mwaka na hujawahi kutekeleza hata moja
 
Hizi ahadi zako tumezioea kila mwaka na hujawahi kutekeleza hata moja
huyu bwana ndivyo alivyo unajiuliza huyu mtu anajitambua kweli hivi mpira ni wakujiapiza kweli? Timu yenyewe ni liverpool zaidi ya miaka 20 hawajainua kwapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…