kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Happy Born day Mkuu,Asanteni sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Huku Honolulu mechi yetu nimeiangalia asubuhi sana saa 05:30am.
Hivyo mimi ndiyo kwaaanza ninaianza hepi besdei yangu..tarehe 28/01 what a way to start my big day...big in so many ways...May God keep guiding my feet!
On tot he next one..Tuesday...KTBFFH.
The Guv'nor leo aliingia kupasha misuli kidogo na kumpa changamoto Mitchy , he is 110% fit kwa next game..but this kid Mitchy hayuko serious hata kidogo