Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kifupi ni kwamba Spurs hawakuwa wazuri sn kuliko sisi kwasababu ata statistics zinaonyesha tuliwazidi kila kitu ila wao walicheza kwa umakini mkubwa na kufata maelekezo ya kocha wao.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kifupi ni kwamba Spurs hawakuwa wazuri sn kuliko sisi kwasababu ata statistics zinaonyesha tuliwazidi kila kitu ila wao walicheza kwa umakini mkubwa na kufata maelekezo ya kocha wao.
Ubora wa spurs ndio ule sikiliza wachambuzi kabla ya game ya kwanza na baada pia kabla ya game ya pili na baada
 
Unapokua umefungwa mbili bila tena HAZARD akiwa ndani... hapo ndo unapogundua HAZARD haina maana yoyote zaidi ya danger symbols[emoji23][emoji23]
 
Majingasana hayo huku wana karudia kale ka goli Leo ni Mara ya 10000 labda
 
Pole shujaa kilondon London hakuna makelele ila uko mtaa wa sita sijui saba ndipo karaha ila fanya usajili wa watu wawili
Kwanini tusishangilie, sisi target yetu ni ubingwa na tishio pekee kwetu ni chelsea, nyinyi endeleeni na ndoto zenu za nafasi ya 4
 
Haah haah yaani jana tumecheza na dunia karibu yote,kila mtu alikuwa anaomba chelsea afungwe tu utadhani sisi ndo tumeshikilia pumzi zenu ila kumbukeni mara ya mwisho tulipopigwa nini kilitokea mpaka ile jana,wana chelsea tutegemee kuiona timu yetu ikiwa na hasira za kuwanyoa wath na chupa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…