eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Victor moses mchezaji bora wa mwezi november
Anacheza na akili za wachezaji wa chelsea tuwe makiniUkifatilia maelezo ya guardiola ktk baadhi ya vyombo vya hbr unaona kabisa kua amekua Na mchecheto mkubwa sn na hii game tena anawahofia Chelsea kuliko mfano kutokana na jinsi Chelsea walivyoimarika ktk michezo yao ya hivi karibuni.
Anacheza na akili za wachezaji wa chelsea tuwe makini
Uliingalia ya Arsenal maana Kwetu umeshindwa kunipa Hata hug ya kinaaa[emoji2]Arsenal vs Southampton
au
Manchester united vs Westham
Now that tulitolewa kwa hii michuano nashindwa kuamua niangalie mechi ipi kati ya hizi...
Uliingalia ya Arsenal maana Kwetu umeshindwa kunipa Hata hug ya kinaaa[emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] walivyocheza ndo Furaha yetu.Niliishia kuangalia yenu bila kupenda lakini maana ya Arsenal kwenye streaming ilikuwa inazingua sana ilhali ndiyo ambayo ingenifurahisha!
Westham waliniboa sana...wamecheza kitozi mno...very individualistic game...kila mtu anataka ku-shine!
mechi ya city si rahisi kama unavyofikiriakesho tunatangaza ubingwa" mapemaaa ............ watupe na kombe kabisa tukaenalo.
[HASHTAG]#city[/HASHTAG] wanakula si chini ya gili tatu.
Cndo apo saaHazard on fire, Pedro on fire Costa on fire, Moses on fire.,Man city tutamwachaje kwa mfano.
Io ni uhakika mzee usogopeeUkweli ni kua match dhidi ya city itakua balaa kubwa chelsea tunapaswa kuwa makini sana tukishindwa bora sare lakini naamini wachezaji wa chelsea wataichukulia serious hiyo match na kuwa carefull kwa dk zote 90
Etihad sio pa mchezo mchezo hivi sasa
Itakua ni match ya kupaniana sana
City wana beki mbovu sana, counter chelsea wanazopiga ni za uhakika, kila counter chelsea walizopga zimezaa goli........mechi ya city si rahisi kama unavyofikiria
mechi ya city si rahisi kama unavyofikiria