El classico ni saa ngapi kwa saa za bongo?
4 yote chelsea wamefungaDuh,leo naona huku kuna sherehe.
Naombea iwe hivyo kwetu baadae dhidi ya Barcelona.
Magoli yote matatu mmefunga nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina jamaa yangu tulibet game hii...baadaye anaenda kuninunulia a soccer ball.Sasa nahamia kuangalia El Clasico Real Madrid against BARCA.
Tunalo.......mkifungwa msijifiche kwenye handaki..... Hongera Mcharo wangu umekuwajeeee mtamuuuuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] .....basi bichwa hilooooo ..._#kelelesitaki/_
Kwa kuruka viunzi sikuwezi!!! ngoja siku nitakubamba utamu....mechi 8 Filipino mnashinda kweli mko vizuri[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hata nishasahau kama kuna kufungwa kwa kweli.
Naombanirudie tena: mara nyingi (zaidi ya 90%) wakati Chelsea inacheza huwa siingii pengine popote. My concentration is wholy devoted to watching the game. Msichukulie huko kama kukimbia jukwaa.
Kwa kuruka viunzi sikuwezi!!! ngoja siku nitakubamba utamu....mechi 8 Filipino mnashinda kweli mko vizuri[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wakati napost vile yalikuwa matatu mkuu.4 yote chelsea wamefunga
Bro wewe uko upande gani hapo?El Clasico ndiyo inaanza in 8 minutes usikose kabisa kuona hili kandanda la kukata na shoka, I hope halitatawaliwa na rafu mbaya na refa kufanya maamuzi ya kuharibu mchezo.
Utafungwa bila dhamana kama Lemakwa ufupi jiji la manchester tume[emoji23] wala[emoji15] wi[emoji23] ti mkubwa na mdogo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro wewe uko upande gani hapo?
Wooooow [emoji87] mie pia.Mie hapa nashangilia Real Madrid nawe je?