Chelsea leo magoi goi
Hivi wewe ni Chelsea mpendwa?hahaha..
damu yangu ya bluuHivi wewe ni Chelsea mpendwa?
Mmeshaongeza la pili haya tokeni kny mahandaki tuje tujadili soka.....Ila kelele sitaki maana mna kelele nyie......hongereni jamani .......Ila Man City akifungwa mechi hii ajilaumu sana.
jipuMarcos Alonso!!!!!???????!!!!!!????