Saaa kumi na mbili na tobooEl classico ni saa ngapi kwa saa za bongo?
Hongera kwa kuoteshwa kaka. Rahaa sana kupanda ndege na point 3mkuu ushindi kama kawa.. ila nilijua first half lazima watufunge.. kipindi cha pili tunachukua point zetu tatu.. kama mimi nimeona naamini hata conte kaona
Hata nishasahau kama kuna kufungwa kwa kweli.Tunalo.......mkifungwa msijifiche kwenye handaki..... Hongera Mcharo wangu umekuwajeeee mtamuuuuu![]()
![]()
![]()
.....basi bichwa hilooooo ...[HASHTAG]_#kelelesitaki/_[/HASHTAG]
Haaaaaaaaa. But mistake kidogo tu kakaName :Gary Cahil
job :striker