Hongeradamu yangu ya bluu
nasubiri madrid baadaeHongera
Sasa nimewakubali...real title contender...kudos...Mna la kusema?
[emoji2] yaani wewe nimekumiss sana na @b5click Enzi zile za kuwekeana madau[emoji3] .....hongereni sana kipindi cha pili mmekuja vizuri mmesahihisha makosa.