Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Conte anataka wepesi na pasi za uhakika kwa kila field. Ndio maana kamuanzisha Faby.Kosa kubwa ni matic kuumia na kumwanzisha fabrigas sikubaliani na conte bora angemchezesha obi mikel
Conte anataka wepesi na pasi za uhakika kwa kila field. Ndio maana kamuanzisha Faby.Kosa kubwa ni matic kuumia na kumwanzisha fabrigas sikubaliani na conte bora angemchezesha obi mikel
Naona umepata unachokitakaaisee... wasipotufunga before break hawatufungi tena
mkuu mpira tunauona wote na mapungufu tunayaona.. alonso leo tatizoNaona umepata unachokitaka
Mh Mikel kabisa? Nakubali kwamba Matic kama yuko fit alitakiwa kuanza maana midfield yao ni heavy ila sio Mikel bro.Kosa kubwa ni matic kuumia na kumwanzisha fabrigas sikubaliani na conte bora angemchezesha obi mikel
Alonso siku zote ni tatizo kwangu. Ndiyo maana juzi hapa nilisema Kennedy angeweza kucheza better than him mkaniambia labda awe mbadala wake kutokea bench.mkuu mpira tunauona wote na mapungufu tunayaona.. alonso leo tatizo
Goli ogirino hiloOg maana Yake nn jaman nimeona kwny live score Gari Kahili (og) kaandikiwa hivi

mkuu ushindi kama kawa.. ila nilijua first half lazima watufunge.. kipindi cha pili tunachukua point zetu tatu.. kama mimi nimeona naamini hata conte kaonaAlonso siku zote ni tatizo kwangu. Ndiyo maana juzi hapa nilisema Kennedy angeweza kucheza better than him mkaniambia labda awe mbadala wake kutokea bench.
All in all...its coming back!
Og ni own goal, yaani goli la kujifunga!Og maana Yake nn jaman nimeona kwny live score Gari Kahili (og) kaandikiwa hivi