Yomakon
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 638
- 680
Wanaiga kunya kwa tembo ....watabast mndu......uEti nao Tottenham wanaingia na 3-4-2-1. Haya ngoja tuone
Wanaiga kunya kwa tembo ....watabast mndu......uEti nao Tottenham wanaingia na 3-4-2-1. Haya ngoja tuone
Nipo jukwaani siwezi kukimbia maana leo hamuwezi tokaNaomba no yako ya simu nikutafute baada ya game maana najua utayakimbia maneno yako
Pedro macross hahahahahajaAisee update zimekauka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee JF kiboko Pedro who?
Half timeUpdate wadau
Upo Tottenham sio!??Nipo jukwaani siwezi kukimbia maana leo hamuwezi toka
Pedro macross hahahahahaja
Tupo mkuu kama kawaida yangu wakati wa mechi huwa siingii humu. Am bize concentrating on the game, ila mtaelewa tu. Mechi dakika 90.
Bado la Hazard na Costa.
Maneno mengiiiii mnaishia wa nne...wewe siwezi bishana nawe hata siku moja!Aibu Aibu na fedheha kumbe maringo baada ya kushinda hamna uhakika na ka-timu kenu ka kununua ushindi, tinafahamu mbinu za kajambazi kenu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aibu! Phew Gunners tunatisha full nondo on mechi day etc we know where we are going, and we know where we come from Ding ... Dong.
Timu yenu hata Ali Hamisi haionekani khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmebaki na majuto mjukuu.
Usikonde kaka, mechi ya kwetu hii... Conte ni mtu wa miujiza sana.Hapa tunatakiwa tufungamane vizuri na kiungo kishike vizuri, Dembele anaachiwa sana kati. Naamini tutarudi vizuri second half
Maneno mengiiiii mnaishia wa nne...wewe siwezi bishana nawe hata siku moja!
Shindeni ligi au UCL kwanza.
Arsenal siku zote ni yule msichana mbaya mwenye kiherehere anayekuwaga kwenye kundi la wasichana wazuri.