Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #34,281
Moses baada ya kufunga goali la pili
Asante mkuu hiyo nitaijaribu siku nyingine, lakini leo nimetazama game yote online kwa kutumia crickfree.net ambayo amenitumia Bobbyray.Mimi huwa natumia www.totalsportek.com
Msimu huu Chelsea moto sana, leo wamevunja mwiko wa Tottenham kutokupoteza mechi msimu huu. Nafikiri Chelsea wakiendelea hivi wanaweza kuwa mabingwa ingawa bado ni mapema mno kusema hivyo.
Ya kufungwaTumewafungulia njia
Utabiri wangu Chelsea 0-2 Spurs
Delle Alli 2 Diego Costa 1
FT
Kwahiyo unamaanisha ....Nikicheki kiwango cha Victor moses kwasasa naanza kuamini kwamba kuna uwezekano uchawi (juju) unavuka bahari...!
tukimpiga man city tu basi kombe watupe tukae naloLeo Conte nafanya sub ya akili sn.
Spurs walikania game sn Leo lkn roho ya upambanaji ndio iliyowaokoa Chelsea Leo
Leo Conte nafanya sub ya akili sn.
Spurs walikania game sn Leo lkn roho ya upambanaji ndio iliyowaokoa Chelsea Leo
naona kama huaminiamini vile ndio mpira huo wa chelsea no mzahaMsimu huu Chelsea moto sana, leo wamevunja mwiko wa Tottenham kutokupoteza mechi msimu huu. Nafikiri Chelsea wakiendelea hivi wanaweza kuwa mabingwa ingawa bado ni mapema mno kusema hivyo.
Chelsea march back to the top of the Premier League after beating the unbeaten Tottenham
