The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,470
- 104,105
Hii ndio CHELSEA
Ni kama mafuriko vile,inapitia kila kilicho mbele yake!!
Who is next
Ni kama mafuriko vile,inapitia kila kilicho mbele yake!!
Who is next
Huyo Spurs aanze kusogea mbele basi zamu yake inakaribia ili na wanyuma yake nae aanze ku move forward ili foleni itembee, wote watapata tu dozi kulingana na magonjwa yanayowasumbua,CHELSEA ndio daktari wa kutibu kila magonjwa kwasasa.Spurs next
Haswa spurs tunatakiwa kumuonyesha chelsea ni hatari na hatutaki ujingaKatika kumbukumbu zangu spurs ndio timu pekee ambayo haijapoteza msimu huu hasa nafikir ni wakat wetu kumbikir katka uwanja wa nyumbani
Jana nyie wenyewe mmeona.... Middlesbrough ni timu moja mbishi sn.... Lkn Jana nyie wenyewe mliona namna mpira tulivyowapigia mpk wakabaki ktk goli lao wamezunguka wanachungulia km mbwa koko.Tunawakika tutauonyesha uwezo wa Hali yajuu kwa Tottenham hiyo tarehe 26November karibu tukae tayari the bluues

Ndugu yangu hiyo mechi uliiangalia kwa kutumia jicho moja au macho yote mawili?Jana nyie wenyewe mmeona.... Middlesbrough ni timu moja mbishi sn.... Lkn Jana nyie wenyewe mliona namna mpira tulivyowapigia mpk wakabaki ktk goli lao wamezunguka wanachungulia km mbwa koko.
Teh teh teh teh teh
Chelsea hatutaki utani kabisa safari hii....
![]()
![]()
![]()
![]()
Vipi kwani? Middle waligeuka mbwa koko kwao kwani uongo? Statics zinaonyesha walikamstika ktk kila kitu kwani uongo?Ndugu yangu hiyo mechi uliiangalia kwa kutumia jicho moja au macho yote mawili?
Hatupotezi ata moja mkuu.hizi match mbili ni afadhari atufunge spurs lakini si city
Hatuitaki kupoteza hata moja ili kujitengenezea mazingira mazuriHatupotezi ata moja mkuu.
Forget about city mkuu. Our next business is spurs. So the team now is focusing on spurs and to see how we gonna kick them at Stanford Bridge.
Yale matoto hayafai kuna lile li Adam sijui ni bishi hilo...Nilikuwa namwangalia Victor Moses Yule mwanadamu anafanya majukumu mawili lakini yupo huru kuliko akiwa anafanya jukumu moja...... Best Moses by the way.... Huyu ndiye atamtoa Conte machozi siku akipata injury katika kikosi chake.
Mnasema matic na kante wanakaba...? Asee kuna watu wanakaba matic na Kate wakasome..... Wale Boro wanakaba timu nzima mapaka unashindwa kujua yupi ni kiungo mkabaji asee 4:5:1 ya hatari..... Wakati wa kushambulia nao wanabadilika utafikiri sio wao waliokuwa wanakaba dah kuna timu nyingine ni mtihani tena wa hisabati hutakiwi kukutana nazo wakati unahitaji alama muhimu...
Kidogo tu Chelsea apate alama moja na pia kidogo tu Chelsea ashinde magoli mawili..... Mpira ni mchezo wa makosa na Diego Costa katumia makosa ya mabeki kutegeana mpira uliokuwa juu akafunga.... Alama muhimu katika wakati muhimu..... Mwache Conte akae kileleni maana kukutana na timu yenye kante na matic wengiiii na akapata point huna Budi kukaa kileleni.
Boro 0-1 Chelsea
Hii ndio CHELSEA
Ni kama mafuriko vile,inapitia kila kilicho mbele yake!!
Who is next
Nilikuwa namwangalia Victor Moses Yule mwanadamu anafanya majukumu mawili lakini yupo huru kuliko akiwa anafanya jukumu moja...... Best Moses by the way.... Huyu ndiye atamtoa Conte machozi siku akipata injury katika kikosi chake.
Mnasema matic na kante wanakaba...? Asee kuna watu wanakaba matic na Kate wakasome..... Wale Boro wanakaba timu nzima mapaka unashindwa kujua yupi ni kiungo mkabaji asee 4:5:1 ya hatari..... Wakati wa kushambulia nao wanabadilika utafikiri sio wao waliokuwa wanakaba dah kuna timu nyingine ni mtihani tena wa hisabati hutakiwi kukutana nazo wakati unahitaji alama muhimu...
Kidogo tu Chelsea apate alama moja na pia kidogo tu Chelsea ashinde magoli mawili..... Mpira ni mchezo wa makosa na Diego Costa katumia makosa ya mabeki kutegeana mpira uliokuwa juu akafunga.... Alama muhimu katika wakati muhimu..... Mwache Conte akae kileleni maana kukutana na timu yenye kante na matic wengiiii na akapata point huna Budi kukaa kileleni.
Boro 0-1 Chelsea
Yale matoto hayafai kuna lile li Adam sijui ni bishi hilo...
Conte ni mjanja sn kwa kumuweka Moses ktk huo upande na pia Moses amekua akijituma sn yani mpk kocha anaona kua huyu jamaa sasa imetosha.
Unachokisemaa kina ukweliiiWatu wanamsifu Hazard kuwa amerudi kwenye form yake lakini mimi nasema V. Moses is the most improved player this season so far. Halafu mbaya ni akiumia yeye atakayecheza mafasi yake ni Ivanovic naogopa sana aisee...
Watu wanamsifu Hazard kuwa amerudi kwenye form yake lakini mimi nasema V. Moses is the most improved player this season so far. Halafu mbaya ni akiumia yeye atakayecheza mafasi yake ni Ivanovic naogopa sana aisee...
Adama Traore ana skills sema nahisi hajapata kocha mzuri wa kum-train kutokutumia nguvu nyingi plus kuongeza akili kwenye dribbling yake.
Ana nguvu na pace...akipata a good coach ana potential nzuri sana!
![]()