Mkuu ila point tatu muhimu tumechukua..Daaah! Hawa madogo aisee wamenipa nipa presha leo
Mkuu ila point tatu muhimu tumechukua..
Na next week tunakuja mbikiri T spurs home
Who is Next??????
Spurs............ Darajani hawatoki.
Mose ndiye amepewa man of the matchmosses leo naona kama alikua kachoka choka flanii hivi. halafu Alonso bado sijamuelewa, najiuliza akikutana na Jesus Navas sijui itakuaje ............
Navas hana njia kwa huo upande kwasababu akizidi sn atajikuta kawekwa kati na mtu 3 Matic Alonso na Cahill. Atapita wapi hapo sasa?mosses leo naona kama alikua kachoka choka flanii hivi. halafu Alonso bado sijamuelewa, najiuliza akikutana na Jesus Navas sijui itakuaje ............
Navas hana njia kwa huo upande kwasababu akizidi sn atajikuta kawekwa kati na mtu 3 Matic Alonso na Cahill. Atapita wapi hapo sasa?
Ni NavasUpande huo wa kina Alonso huwa anatokea Sterling au nimekosea?