Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kaka mi nilikuwa ni miongoni mwa waliompokea Conte kwa shingo upande sababu ya mazoea ya Mou, na zile mechi za mwanzo timu ilikuwa mbovu sana
Lakini kwa sasa kwa mfumo huu ni balaa maana Chelsea wanaonekana wako 15 Kiwanjani, kipa mmoja, mabeki saba na Foward saba, maana wale watatu wa nyuma wakishambuliwa wale wane wa kati wanakuja kuwa mabeki na wale watatu wakishambulia wanne wa kati wanakuja kuongeza idadi, kwa hiyo nyuma hakufungiki na mbele tunatupia tu kwenye nyavu,

Timu sasa imesimama, ila kocha anapaswa kuwa na sub ya ukweli kwa Victor, Kante na matic maana wakiumia au wakiwa na kadi ni balaa
Ni kweli kaka. Na unapokua na wachezaji 7 wanao shambulia goli la adui tena wengi wenye sifa ya kukimbia kwa kasi na drive mipira km Hazard Pedro na Moses. Timu pinzani lazima zipate tabu maana km ukiwaendea hovyo Basi lazima mkwaju Wa penati ukuhusu au kadi ya njano au nyekundu. Hapo ndio utaona pamoja na kucheza huu mfumo Conte anatumia uwezo binafsi Wa wachezaji na kwa muktadha huu huyu Costa kila game lazima atupie. Nasubiri game yetu na Man City Etihad December 3 nione how this formation gona work.
 
Hatutakuangusha Mcharo wangu wale wetu ni nyie na Man city safari ya kwanza tu mlituotea.....big four hatupotezi tena, Hata nyie mjiandae mkija kwetu

mdada kwema? ......mark my word, kiukweli sioni kwa namna yoyote mkimfunga Arse888 pia sioni kwa namna yoyote mkimaliza msimu top 6 ..........
 
Zereu sasa hizo......

Nyie ni wateja wetu tu....

Mzee Wa kupaki bus mnae huko kz mnayo

Ila hii mechi ya marudiano inaweza kuwa ngumu sana kwetu kwa maana ya kwamba Mou ataamua kupaki basi dakika 90...either draw au tushinde 1 - 0. Itakuwa ngumu.

mdada kwema? ......mark my word, kiukweli sioni kwa namna yoyote mkimfunga Arse888 pia sioni kwa namna yoyote mkimaliza msimu top 6 ..........

Dah mkuu usiseme hivyo...hiyo siku nitakuwa upande wa Mou kwa kweli ingawa reality inaniambia vinginevyo...naumia!!!
 
Ngoja tufike huo muda tuone km timu yetu itakua bado ktk kiwango kizuri km hichi au lah na pia tuone man u wamebadilika VP au wako vile vile. Hapo tukikaribia ndo tutaona tathmini vzr.

Nasubiri kwa hamu game yetu na Man City nione tena huu mfumo unafanya VP kz.

Kwa sasa siwezi sema lolote
 
mdada kwema? ......mark my word, kiukweli sioni kwa namna yoyote mkimfunga Arse888 pia sioni kwa namna yoyote mkimaliza msimu top 6 ..........
Kwema kabisa hofu kwako,eeehhhh Wewe wasema sisi ndiye...... embu siku moja moja niombeage heri mwweee Hata kama ya kinaaa
Zereu sasa hizo......

Nyie ni wateja wetu tu....

Mzee Wa kupaki bus mnae huko kz mnayo
Eeeehhhh hakuna kitu kama hicho.
Chante mke Wa mcharo Mentor.......

Upogo wewe MTU?

Nipo dear ubize tu.....
 
Naona Conte macho yake ya dirisha dogo ni kuomgeza ulinzi...... sijajua anazingatia nini maama I hope mpaka mwez February Zouma atakua amerudi kuimarisha safu hiyo.

kwa kifupi kikosi kimekamilika
 
Kwema kabisa hofu kwako,eeehhhh Wewe wasema sisi ndiye...... embu siku moja moja niombeage heri mwweee Hata kama ya kinaaa

hahahahaha ............. nakuombea heri bi dada sema hamna kocha.
 
natamani kila weekend tuwe tunacheza big match, hivi hatuwezi tukaomba tucheze na spars na man city kwanza halafu ndio tucheze na middle.
 
Wakuu mnahabar kuwa golikipa wetu anamajeraha ya jicho?

Hii ni tweet yake mwenyewe: Everything's ok with my eye, had it for 2 weeks and doesn't effect my goalkeeping
1f602.png
1f44d-1f3fb.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom