Sio vinyonga ila kila shabiki anaitaji matokeo positive kila matokeo yanapo tokea kila coach hata akiwa mzr vipi akizingua tu lazima tuponde tuHiyo ni habari njema sana. Huenda majeraha waliyopata hayakuwa makubwa.
Mwanadamu kweli ni kinyonga (kigeugeu). Nakumbuka wanaomsifia Conte sasa, wengi wao ni wale waliokuwa wakimponda hapo kabla.
maombi yangu kwa mechi ya man u vs arsenal watoke droo ili kuongeza gap kubwa kati yao na sisi.
Huku na sie ktk mechi 8 zilizobaki tukipata point 20 out of 24 itakuwa njema kumaintain nafasi yetu, mechi zitakazo tupa shida hata tuwe wazuri vipi ni ya man city na toten hawa jamaa huwa wanatusumbua sana
maombi yangu kwa mechi ya man u vs arsenal watoke droo ili kuongeza gap kubwa kati yao na sisi
Imagine wewe ni kocha. Umepata kazi ya ukocha sehemu nyingine (say nchi tofauti, ligi tofauti), timu mpya, wachezaji wapya ambao wamefundishwa mfumo tofauti, njia na falsafa tofauti ya kucheza mpira. Unadhani itakuchukua muda gani wachezaji waelewe ideas, methods, philosophies zako na hatimaye timu yako ifanye vizuri?Sio vinyonga ila kila shabiki anaitaji matokeo positive kila matokeo yanapo tokea kila coach hata akiwa mzr vipi akizingua tu lazima tuponde tu
Mkuu kwa namna nilivyoiona chelsea alivyoipokea conte ni kama aliendelea na mfumo uliozoeleka pale chese ila tu alibadilisha wachezaji mfano alianza kumtumia oscar zaidi lakini alivyoona hiyo mbinu imefeli akaamua kuja na filosofia yake ambayo nadhani mwanzoni alikuwa anaogopa kuitumiaImagine wewe ni kocha. Umepata kazi ya ukocha sehemu nyingine (say nchi tofauti, ligi tofauti), timu mpya, wachezaji wapya ambao wamefundishwa mfumo tofauti, njia na falsafa tofauti ya kucheza mpira. Unadhani itakuchukua muda gani wachezaji waelewe ideas, methods, philosophies zako na hatimaye timu yako ifanye vizuri?
ngoja tusubiri ingawa arsenal ni wadhaifu wanapokutuna na man u refer huko nyumasidhani kama kutakua na droo, naona man u akila goli nyingi sanaa.
halftime bado droo hii mechi droo. Hatutaki pressure huku nyumasidhani kama kutakua na droo, naona man u akila goli nyingi sanaa.
KAKA CONTE NI JINI NA KWA HALI HIYOO SIKUFICHI MZIKI NI MNENE TENA NI MNENE HASAHuu msimu ni ule ikifika 5pm tayari kunakuwa na giza...na 6am kuna mwanga kabisa!!!
Nipo makini nafuatilia game ya Liverpool na liverpool B hapa..Sijawahi kuona chelsea ikipiga mpila hivi wazee kombe ni lenu mshindwe nyie ila EPL NI YENU
Nakumbuka ilikuaje hapo mlikua mkishinda kwa shida sanaNipo makini nafuatilia game ya Liverpool na liverpool B hapa..
Nipo makini nafuatilia game ya Liverpool na liverpool B hapa..
Anabahati kisu kilikuwa butu ila hana hamuHa ha ha ha ha ha ha ha ha, natamani sana jogoo apigwe kisu hapa
Anabahati kisu kilikuwa butu ila hana hamu