Hapanawalishinda 6...je walikuwa na clean sheet?
Hapanawalishinda 6...je walikuwa na clean sheet?
Basi jibu umepata kuwa chelsea is the bestHapana
Hivi uingereza kuna timu ya hatari kama liver kwa sasa? Kuonyesha yeye kiboko baada ya Chelsea kushinda tano wao wakashinda sita
Koute zouma anaweza akafiti katika postion ya luiz endapo ikatokea amepata kadi tano za njano ....ni mtazamoMy comments on Ntuzu 's post:
- Ile mechi ya Arsenal na fact kwamba baada tu ya kumtoa Fab na kumuingiza Alonso, then switching to 3-4-3 nadhani ndiyo inayomuadhibu Fab mpaka leo. Najaribu kuwaza kama Fab angehamia anakocheza Pedro kama kusingekuwa na tofauti/similar effect.
- Marcos Alonso: Bado ninaamini kwamba tunaweza kumpata a better player than him. Hapa namuwazia mtu kama Danny Rose (Tottenham) au Nathaniel Clyne (Liverpool). Bado huyu jamaa hajafit vigezo vya a first eleven Chelsea player. Tunahitaji dogo mwenye speed and smart. V. Moses clone.
- Bado ninalia na Pedro kunyimwa pasi. Kwa bahati, pasi aliyopewa Hazard (ya goli la kwanza dhidi ya Everton) ilizaa matunda lakini mara nyingi Costa anampa pasi Hazard nyakati ambazo Pedro yupo free zaidi. Sijajua hasa ni kwa nini but hii naona ni weakness of the front three.
- Defence: Hii nilishaiongelea kwenye comments za juu. Defenders walioko benchi hakuna hata mmoja ambaye anaweza kuingia na kucheza kwa kiwango kilekile au zaidi ya hao waliopo ndani. Hili litakuwa tatizo kama tukipata majeruhi ama kwa mechi ambayo mmoja wao atakuwa amefikisha kadi tano za njano.
Tena ata km wakigundua watakua na kz ya kupambana na uwezo Wa mchezaji mmoja mmoja maana tunakoendea Matic au Kante mmoja wao hapo atapewa acheze na Willian. Sasa Willian akiwa kati hapo akawa ana tiririka na mipira kuja nayo mbele timu pinzani lazima ziumie.mpaka mfumo ungunduliwe solution ligi itakuwa inaenda mwishoni
mule muleMentor mi nafikiri Faby atakuja kutumika ktk game zijazo na pia ukiangalia huyu Faby amechoka kaka. Kacheza sn yani karibu miaka 14 yuko uwanjani anakimbia tu tena wakati mwingine kwa kiwango kile kile na kasi ile ile.
Tukija ktk swala Alonso anachofanya Conte ni kucheza na akili za watu. Kweli tunacheza mfumo Wa 3-4-3 lkn timu inapokua inashambuliwa ni kweli tunakua ktk hii back line ya wachezaji Wa 3 na ni aina gani hao ya hao wachezaji alionao ktk hii back line ya 3?
Conte mjanja sn tena sn. Anatumia uwezo Wa wachezaji binafsi kutengeneza huu mfumo na hii ndio inayowapa tabu sn timu pinzani tunapokutana nazo.
Kwa mfano Alonso ni beki Wa kushoto kwa asili lkn huyu beki amepewa Uhuru Wa kuweza kupanda mbele sn na kurudi nyuma km alivyo Moses ktk upande wake. Na pia huyu Alonso anachezeshwa huu upande km timu ikiwa inashambuliwa Basi huku nyuma kuna kua na wachezaji watano wanaosimama km mabeki akiwemo Alonso Cahill Luiz na Azp na Moses. Hii inafanya ngome ya chelsea kua ngumu sn. Na wakati huo huo huyu Azp amekua akitulia nyuma na hapandi mbele hovyo hovyo km ilivyokua zamani na ukiomuona mbele ni Mara moja moja sn sema huyu jamaa amekua huru pia kuingilia mipira ktk maeneo ya kati na kutibua mipira Mara kadhaa na ata ktk eneo LA kati pia. Kwahiyo unakuta Luiz anakua huru sn na kupunguziwa kz sn kitu ambacho Terry km anasimama hapo kati ataweza kucheza vzr tu. Na ata Ivanovic maana huu mfumo unawapunguzia baadhi ya wachezaji majukumu sn.
Tukija ktk upande Wa Moses hapa Conte alitumia akili sn maana angeliweza kumuweka Oscar au Faby lkn huyu jamaa aliweka mtu ambae anaweza kukaa na mipira na kudrive na Mwenye kazi sasa niambie hapo km mbele Yake kuna kua na MTU km Pedro na Costa na Hazard alafu na huyu mwingine anakuja kwa kifupi inakua ni hatari sn.....
Kuna shida naona kati ya Costa na Pedro lkn nafurahi kuona Pedro na Hazard na walivyo huru baada ya kupunguziwa majukumu ya ukabaji na kubaki kushambulia tu. Wamefanya mabeki wowote kupata shida sn ktk kuwakaba.
Kwa kifupi tu huu mfumo unafanya wachezaji wanakua wametapakaa kila kona. Wakiwa wanashambuliwa wanakua wengi na wakiwa wanashambulia wanakua wengi pia. Kwahiyo Conte anatumia uwezo binafsi Wa wachezaji kutengeneza huo mfumo.

Liver kamfunga hadi huyo chelsea nyumbani kwake darajaniWalicheza na nani?
Mwambie Aje tena au subiri tukija huko kwenu uone tunavyokuchabanga.Liver kamfunga hadi huyo chelsea nyumbani kwake darajani
We hujielewi kabisa, liver kakufunga kwako isitoshe kakuzidi point sasa unataka afanye nini kwa sasa uamini ni bora zaidi yako? yuko robo fainali ligi cup wewe ushatolewa, narudia tena liver ni timu bora kwa sasa kuliko timu yoyote eplBasi jibu umepata kuwa chelsea is the best
Kwi kwi kwi kwi maneno ya mkosaji hayo, ungemfunga kule kule kwako,Mwambie Aje tena au subiri tukija huko kwenu uone tunavyokuchabanga.
Baada ya game yetu na Man Utd mchambuzi mgeni Wa siku hiyo Wa kituo cha super sport kocha Martnez alisema wazi kabisa kua kwa style hii Chelsea itakua bingwa maana wanacheza huku wakiwa relaxed kila upande na mpira unamilikiwa kisawasawa.Kwa kiwango cha sasa cha chelsea naanza kuifananisha na buyern murnich ya mwaka 2010_2013 ilikuwa ni timu ambayo imekamilika kila idara .
Nadhani kwa chelsea hii wapinzani wanakazi ya ziada sana kuikabili..
Poa, nawasubiri kwa hamu sana mkuu, kweli unaamini kuwa chelsea ni bora kuliko liver kwa wakati huu?nguvu we tuliza bori subiri tuje kwako uone moto.
Ndio naamini tena mkitia mguu tu lazima muabike km EvertonPoa, nawasubiri kwa hamu sana mkuu, kweli unaamini kuwa chelsea ni bora kuliko liver kwa wakati huu?