Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Kwanza poleni sana jana.

pili, kwa kuangalia umri wa wachezaji wenu, Champion League glory ni ndoto kwa Chelsea! Hii crop ndio pekee iliyokuwa na uwezo huo kwa mwaka huu, na wao walijua huu ndio mwaka wao wa kujaribu mara ya mwisho!

Tatu, Ukweli ni kwamba mnajua Ukweli na Ancelotti anaujua ukweli, na wachezaji wanalijua hilo, Chelsea hawawezi kutwaa EPL mwaka huu...

Mwisho, natabiri kuanzia mwakani mtakuwa mnapigania nafasi ya nne au ya tano kwenye EPL, mkiwa overtaken na "Man Citeh/Liverpool" ya Mourinho, na Wenger Boys!
 
Yeah Man U tunataka robo fainali na Arsenal(New Invicible)

...ehhh? 😀

hamuwataki kina Inter, Bayern, Barcelona kama sisi? hamtukinai nyie tunakutana kila siku EPL, FA, carling cup, etc ? haya, subirini "death penalty" aka CL draw yenu ijumaa...😀😀😀


...misiba imefululizana huku! wape muda wachungulie 'anayewaroga!'

Karibuni europa league
YNWA

...ehhh, yamekua hayo? 🙁🙂😀!!!
 
....AB -Mwalimu, Masa Boy, Mvina, Peasant, Manda, Invisible et al........! I know what you are going through right now.........! tulipenda mfike mbali zaidi kuleta ushindani wa kweli kny CL lakini naona ....mwenyezi Mungu kawapenda zaidi........!

But remember there is always tomorrow.....usipochafuka huwezi kujifunza kamwe........!
 

you really know how to rub salt on someones wound!!! tehe tehe
 
you really know how to rub salt on someones wound!!! tehe tehe

Hahahaha!! a salt and pepper!!!!
Poleni sana mashabiki damu wa Chelsiki...ndo ukubwa huo..mkajipange tena msimu ujao na pia naona itakuwa ni maandalizi mema kwa timu ya england wapumzike ili japo watutumke kwenye WC vinginevyo wanaweza kupata exit ya mapema tu
 
Yeah it's painful - but that is part of the game - we look forward....still in two competitions' to finish our season....
 
nimeonewa sana ,nimeumia sana ,na nimenyanyasika sana katika hili....nimeishiwa pumzi na kwa kweli words fails me!!!
 
QUOTE OF THE DAY:
"Sometimes in football you win because you're lucky. Sometimes you win because you are the best team. Sometimes you win because you were the best team from the first to the last minute. That team was my team and my players. I'm not very happy because they (Chelsea) lost. I'm very happy because my players are happy, my supporters are happy, my president is happy and because I worked so much for this game. As a professional, that's the best feeling you can have. I'm not happy because my ex-players or Roman (Abramovich) lost, or that Chelsea supporters go home sad. I'm not happy about their unhappiness." Good to see Mourinho is as self-assured as ever.
 
Yeah it's painful - but that is part of the game - we look forward....still in two competitions' to finish our season....

Hivi mlikuwa bado na matumaini hiyo ndio inaitwa sucker punch mngemuuliza Invisible alikwisha enda kwa yahaya kupitia Magogoni street khe kheee
 

Khe kheeeeeeeeeeeeee come to the reality ... .....

lol, machungu tele moyoni!

Blackburn wanawasubiri wakamalize matanga away khe kheeeee 
 
nimeonewa sana ,nimeumia sana ,na nimenyanyasika sana katika hili....nimeishiwa pumzi na kwa kweli words fails me!!!

Sasa hii mizoga ya pensioners tuifanyaje? Vipi nani atakuwa kocha msimu ujao? khe khe kheeeeee
 
ha ha ha ha wakati jana wengine tulikuwa tumekerwa na JF kuwa offline naona wenye jukwaa hili walikuwa na furaha kubwa kwa JF kutokuwa hewani wakati wa mechi yao.


poleniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa wazee wa darajani kombe la mabingwa tuachieni wenyewe.
 
i hope kutolewa champions league kutawavuruga zaidi pale darajani na kuwaletea matokeo mabaya kwenye ligi. adui muombeee njaaaa.

masanilo utachukua likizo nyingi tu mwaka huu ha ha ha omba june ifike ukajifiche kwenye kombe la dunia.
 

...h ha haa, CLASSIC!
R.I.P Chelski!


...Mourinho-lingua! 😀

wakati huo huo, Abramovich anatafuta seremala watangaze hili;

 
Duh huyu Mourinho anajua kunoa defence, jana defence ilikuwa imekamilika Samuel,Lucio na Maicon hii ndio Brazil hakuna ubishi
 
Egotistical, cynical and brilliant.
Welcome back, Jose Mourinho
​








Khe khe kheeeeeeeeeee na bado mtafukuza upepo mwaka huu.​
 
...h ha haa, CLASSIC!
R.I.P Chelski!



...Mourinho-lingua! 😀

wakati huo huo, Abramovich anatafuta seremala watangaze hili;


Safi sana hii khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Duh Ancelloti presha juu na tajiri wao achelewe kukutupia virago.....Masa Hiddink ameshasema this time hana time na part time job ahahahahah
 
Well done Jose - Chelski still miss you madly and it was a stupid move by Roman to sack you - he who laughs last, gets the last laugh... Chelski's form have suffered since the moron John Terry could n't keep it in his pants - Chelsea you were absolutley rubbish last night.
 
Duh huyu Mourinho anajua kunoa defence, jana defence ilikuwa imekamilika Samuel,Lucio na Maicon hii ndio Brazil hakuna ubishi

...Chelsea wachezaji wao umri umekwenda sana aisee,
kibabu ulimi nje jana! midfield ilikufa 'kifo cha mende' 😀

​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…