Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hazard ze magician aise.....ila Costa namwona ananza kuzingua...anakaa na mipira sana....
 
Hii game hata Traore angekuwepo angeshatupia hat trick.
Costa anachosha kuangalia...anagombana hadi na wenzake and to be honest hii sheria mpya ya kadi ya njano ukibishana na refa itatugharimu sana. Costa kama hatoweza kutulia aende A. Madrid tu. sasa ndo naelewa kwa nini nisiyempenda wanamtaka -Lukaku!
 
Defence...midfield iko sawa sana. Especially defence...Ivanovic. Just wow!!!! Cahill very relaxed yani..Caroll haonekani na aerial balls hazipati kabisa.

Pale mbele tu...
 
timu imebadilika sana" tukikutana na arsenal au man u" tutapiga tuue ...............
 
timu imebadilika sana" tukikutana na arsenal au man u" tutapiga tuue ...............
Kwa Costa huyu wa first half? Labda tutoke 0 - 0. Maana defence imenishawishi..bado mbele.#honestly
 
Defence...midfield iko sawa sana. Especially defence...Ivanovic. Just wow!!!! Cahill very relaxed yani..Caroll haonekani na aerial balls hazipati kabisa.

Pale mbele tu...
mi hat siiamin hiyo defence" haijapata shurba sababu NGOLO anaifanyia patroo sazote .............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom