Ivanovic ni janga, hayupo hata mwenye top 50 right , central or left defenders kwa sasa ,jamaa ni bonge la weak link kule nyuma especially when we attackDefence...midfield iko sawa sana. Especially defence...Ivanovic. Just wow!!!! Cahill very relaxed yani..Caroll haonekani na aerial balls hazipati kabisa.
Pale mbele tu...
Kwa mawazo yako ila kiukweli ivanovic kajituma sana leo .kwangu mm nampa pongezi.pia chelsea inaonekana wapo na nguvu zaidi mwaka huu kuliko msimu uliopitaIvanovic ni janga, hayupo hata mwenye top 50 right , central or left defenders kwa sasa ,jamaa ni bonge la weak link kule nyuma especially when we attack
Wakuu hv tukishinda hii game si tunaongoza ligi?
Kweli kabisa mkuu, bado kichwa changu kimevurugwa. Ila nashukuru wale supersubs walipoingia waliongeza nguvu hatimaye tukashinda gemu.Duh!! Mkuu Inaonesha bado mzimu Wa msimu uliopita bado unakusumbua.
bora tungefungwa ili tusajili beki" beki sio nzuri kabisaa, jana hatukpata shambulizi ndio mana! tungepgwa shambulizi mbili yote yangekua magoli na ungemkataa huyo iva. ukitaka kujua beki ni mbovu" westham wasingetakiwa kupata hata goli. goal la Cahil lile .............. all in all hii chelsea ya sasa tukicheza na timu kama arsenal au man u! tutaua"Kwa mawazo yako ila kiukweli ivanovic kajituma sana leo .kwangu mm nampa pongezi.pia chelsea inaonekana wapo na nguvu zaidi mwaka huu kuliko msimu uliopita
Ivanovic ni janga, hayupo hata mwenye top 50 right , central or left defenders kwa sasa ,jamaa ni bonge la weak link kule nyuma especially when we attack
acha uoga" hujaona visigino vilivyokua vinapgwa mule" umeviona wapi kwingine tokea ligi imimeanza?Duh!! Mkuu Inaonesha bado mzimu Wa msimu uliopita bado unakusumbua.
bora tungefungwa ili tusajili beki" beki sio nzuri kabisaa, jana hatukpata shambulizi ndio mana! tungepgwa shambulizi mbili yote yangekua magoli na ungemkataa huyo iva. ukitaka kujua beki ni mbovu" westham wasingetakiwa kupata hata goli. goal la Cahil lile .............. all in all hii chelsea ya sasa tukicheza na timu kama arsenal au man u! tutaua"
Niliangalia zaidi ya dakika 70, narudia tena Ivanovic ni weak link ya beki yetu, haitachukua zaidi ya mechi tatu kukubali hii kauli unless Conte afanye mabadilikoUnaangalia history au mechi ya jana!??