As much as naipenda Chelsea , performance kama ya Jana haiwezi kutupa ubingwa, lazima mfumo wa Conte umuaccomodate Fab, jamaa ana jicho la final pass kuliko mchezaji yoyote pale Chelsea(Fact), interception za Kante ni muhimu sana awe first eleven, narudia tena kwa aina ya Mpira wa dunia ya sasa left back na right back lazima waweze kusaidia mashambulizi kutokea pembeni kitu ambacho Ivanovic anakosa, all in all tulikuwa strong Wakati wa kuzuia ila tuna mapungufu Wakati tuki counter attack haswa kwenye final decisive passes