Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

sijui wanahaha nini na Lukaku, agriiiiii#&#@............ inatakiwa beki ya kati moja au mbili zilizokula mavi. Halafu beki y kati mbona naona Miazga mzuri tu lakini hapewi chance.
Miazga anapelekwa kwa mkopo ujerumani huko
 
Kwa wale wa Premier league fantasy football code izo 679519-188583
Join Our League..
 
Let us keep our fingers crossed - He might land at Bridge!!!

15124293-large.jpg

Leicester City transfer rumours: Mahrez, Chelsea and the mystery agent at a West End hotel

Ni kweli tuna tatizo kwenye sekta ya ULINZI, JT anaweza lakini si kwenye ubora wake, tunahitaji nguvu kidogo kuimarisha sehemu hii ya ULINZI wa kati.

Habari nzuri so far ni hizi kuhusu hili:

Chelsea Set to Sign Napoli Defender Kalidou Koulibaly for £30m

Antonio Conte's Chelsea have won the race to sign highly-rated Napoli defender Kalidou Koulibaly, after the Senegalese international decided to call time on his career at the Italian side.

5778d91f2f9af5f725000001.jpg
 
Hivi mahrez anakuja kucheza namba ya nani
yeye ni winga, tuna winga mmoja tu ambaye hawezi kuwa replaced na Mahrez naye ni Hazard. Kwa kiwango cha Mahrez lazima ataanza winga ya kulia ama kushoto wakibadilishana na Hazard. Quadrado na Pedro watakuwa na wakati mgumu sana kujihakikishia number mbele ya Mahrez unless mmoja aondoke kabla ya dirisha kufungwa!!
 
Nafikiri tunaitaji mabeki 2 kabla dirisha halijafungwa
 
Let us keep our fingers crossed - He might land at Bridge!!!

15124293-large.jpg

Leicester City transfer rumours: Mahrez, Chelsea and the mystery agent at a West End hotel

safi sanaaaaaa namhusudu sana huyo jamaa, ............ akuje tu tuuze Pedro.
 
yeye ni winga, tuna winga mmoja tu ambaye hawezi kuwa replaced na Mahrez naye ni Hazard. Kwa kiwango cha Mahrez lazima ataanza winga ya kulia ama kushoto wakibadilishana na Hazard. Quadrado na Pedro watakuwa na wakati mgumu sana kujihakikishia number mbele ya Mahrez unless mmoja aondoke kabla ya dirisha kufungwa!!
huwezi ukawa sawa!" huyo sio wakumreplace Hazard, labda ungeniambia wilian, ............. kwa maoni yangu japokua wilian alikua na msimu mzuri mwaka jana" lakin wilian kw mahrez anasubiri sana. to me Wilian will be my 3rd choice.

Nilisoma mahali, statics za Mahrez msimu uliopita akiwa ndio msimu wake bora wakalinganisha na msimu wa mwaka juzi Hazard akiwa kwenye msimu wake bora, Hazard amempita kidogo tu ............

wilian sio winger, ila kama Mahrez atakuja wilian anaweza akaanzia benchi" au wakacheza Hazard, Wilian na Mahrez wote kwa pamoja.
 
joins Ajax on loan
AFP
20:00 12/08/2016
The Hague - Chelsea signed forward Bertrand Traore to a new three-year deal on Friday before sending the Burkina Faso international out on loan to Dutch giants Ajax for the upcoming season.

Traore, 20, joins the four-time European champions ahead of the first leg of their Champions League play-off tie at home to Rostov on Tuesday.

"I'm very happy to be an Ajax player. So I'm excited to start playing for Ajax," Traore said on Friday as he toured his new club.

"I like the league here in Holland. I like this style of playing, so I'm very happy to be here," he said, adding the team had "fantastic players.
 
Daaaah...Troute to Ajax..huyu konte simwelewi aise....tuletee bas forward wengine..kaaah..
 
tatizo la chelsea ni beki, na tulikuwa tunahitaji kiungo mshambuliaji kwani cesc mwisho wa msimu huwa anachoka . tumepata kiungo kante, na mshambuliaji baltshuay. lakini conte asiposajiri back line tutakuwa tunafungwa kila mechi
 
Ni kweli mkuu....beki ni tatizo mkuu....sasa hivi tuitakiwa tuanze msimu kwa kuwa na point 3 kwa wagonga nyundo west ham...unaweza ukashangaa tukawaka ila naamin tutawapiga...
 
tatizo la chelsea ni beki, na tulikuwa tunahitaji kiungo mshambuliaji kwani cesc mwisho wa msimu huwa anachoka . tumepata kiungo kante, na mshambuliaji baltshuay. lakini conte asiposajiri back line tutakuwa tunafungwa kila mechi

Sahihi kabisa wamesema kati ya J'tatu na J'nne tutakuwa tumejua hatma ya Kalidou Koulibally.

Baada ya hapo ndio nitaongea kuhusu mid field...ambayo kiuhalisia, mid fielders tulionao wanatosha kabisa kwa local games za EPL na FA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom