Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kurt Zouma : Recovering...

3661F30400000578-0-image-a-18_1468842589463.jpg

3661F0DF00000578-0-image-a-17_1468842586442.jpg
 
1.Mikel Obi
2.Ivanovic
2.Remmy

halaf mikel lazima atakua bonge la mchawi, hamna kocha anaetakaga kumuuza.
conte ameshasema kuwa club inamhitaji mchezaji aina ya Mikel...kwahiyo ni kwamba hawana mpango wa kumuuza
 
Remmy haondoki...kaongea jana kwenye Chelsea TV kuwa mwaka huu hategemei kupata majeruh...yupo tayari jupigania namba
 
Mpambanaji wa kweli hapaswi kukata tamaa chelsea ni yetu iwe katika hali mbaya au nzuri. Tunapaswa kuipenda tu.
Kabisaaa mkuu,usifurahie mazuri tu hata mabaya unatakiwa kuvumilia.
 
ila binafsi baba na ivonovic nawaona kama surplus kwenye timu...ivonovic ndiyo takataka ingawa bado tunaukumbuka mchango wake
Baba Rahman kashindwa kufit pale watafute mwingne,Ivanovic sijui ni umri? Anatakiwa asicheze mechi nyingi awe anapumzishwa. Kuna madogo wengi wanatakiwa wapewe nafasi, Mazga, Thraore,Atsu,wanatakiwa wapewe nafasi waoneshe maana wako vizuri.
 
Ameumia bega..wiki tatu nje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom