Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Nani huyo kaumia bega tens?
Branislav Ivanovic...
Nani huyo kaumia bega tens?
😀 😀 lazima utupe pongezi....madrid huko cjui kafanywa nini na akina cavan...chelsea tutaendelea kuwabuluza ndezi wa englandi...Pongezi CFC kwa Usuindi wa Jana dhidi ya Liverpool
Pongezi CFC kwa Usuindi wa Jana dhidi ya Liverpool
Ushindi ni wa leo kaka...mechi imeanza Alhamisi, 28/07/2016, 06:35am kwa saa zetu Afrika Mashariki.

Kwa hiki alichokifanya, hatocheza mechi ijayo dhidi ya Real Madrid...SAD!!!
![]()
![]()
Sasa huyo BANIANI ndio pozi gani hilo!!