una uhakika???? au ndo nyie mkiona tu banda jekundu mnajua ni m-pesa????Teh teh mnaz mmeanzia kipindi cha Mou
una uhakika???? au ndo nyie mkiona tu banda jekundu mnajua ni m-pesa????Teh teh mnaz mmeanzia kipindi cha Mou
Nina uhakika 100%una uhakika???? au ndo nyie mkiona tu banda jekundu mnajua ni m-pesa????
Uko sahihi mkuu hata mimi namkubali saaaaana tena saaaana ila huwa napenda kumchemsha dada yanguPNC pls nielewe,huyu everlenk ni real soccer lady,kwa kweli tunajivunia sana kuwa na wadada wapenda soka kama yy na Wengineo
Pls tunapo ongea nao tuchague sana maneno ya kusema ili tusiwakatishe tamaa,ushabiki wa soka una maneno yake na isitutoke heshima sababu ya soka!
Iam proud to call everlenk my dear friend
Lkn team yako matatizo sana,ikicheza na MAJOGOO ya Liverpool leo nakupiga home and awayUko sahihi mkuu hata mimi namkubali saaaaana tena saaaana ila huwa napenda kumchemsha dada yangu
Ha ha ha ha ha mkuu timu yangu ni bingwa mtetez wa Uefa wa uefa Super cup wa La liga wa FIFA club world champion wa Copa del rey SASA najifikiria utawezaje mfunga wakat mara ya mwisho kakupiga 1:0 Anfield TUTAKE RADHI MABINGWALkn team yako matatizo sana,ikicheza na MAJOGOO ya Liverpool leo nakupiga home and away
Mambo ya historia hayo,kesho Valencia anakupigaHa ha ha ha ha mkuu timu yangu ni bingwa mtetez wa Uefa wa uefa Super cup wa La liga wa FIFA club world champion wa Copa del rey SASA najifikiria utawezaje mfunga wakat mara ya mwisho kakupiga 1:0 Anfield TUTAKE RADHI MABINGWA
PNC pls nielewe,huyu everlenk ni real soccer lady,kwa kweli tunajivunia sana kuwa na wadada wapenda soka kama yy na Wengineo
Pls tunapo ongea nao tuchague sana maneno ya kusema ili tusiwakatishe tamaa,ushabiki wa soka una maneno yake na isitutoke heshima sababu ya soka!
Iam proud to call everlenk my dear friend

Uko sahihi mkuu hata mimi namkubali saaaaana tena saaaana ila huwa napenda kumchemsha dada yangu

Kufungwa mara mbili mfululizo haiwezekaniMambo ya historia hayo,kesho Valencia anakupiga
Daaah! Asante sana, wacha tujitafakari sasa.Poleni sana wana Chelsea wote.
Utakua ni shabiki wa msimu labda! Shabiki mbona hua hachoki wala hakati tama....😀😀Mkuu sijawahi penda team tofauti na hii kwa England sema tu mwenendo wa The Blues sahivi unanichosha kila siku.
tumekusikia shabiki uliyejua soka baada ya kununuliwa Smart phone na babaNawasalimia washabiki mlioanza shabikia mpira 2008
Siyo msimu sema kuna muda lazima nikate tamaaUtakua ni shabiki wa msimu labda! Shabiki mbona hua hachoki wala hakati tama....😀😀
Ntuzu ni shabiki wa msimu? Au yule dogo mpayukaji, Enzo, Ezo, ozo, zozo(nimesahau jina lake,kunrazi)?Utakua ni shabiki wa msimu labda! Shabiki mbona hua hachoki wala hakati tama....😀😀
Kama ni mtu wa kukata tamaa kwa msimu mmoja tu,basi bora nikutakie safari njema but kumbuka kila team hupitia matatizoni kwa wakati wake,Sisi ndio CHELSEA win or lose.Siyo msimu sema kuna muda lazima nikate tamaa
Bila kumsahau zouma tangu huyu jamaa aumie beki imepwaya sanaAkija konte anatakiwa awabakishe hawa tu tiba cotous wiliani oscar fabrigasi na petro baasi wengine wote waachwe asajili timu mpya kabisa maana hakuna namna sasa