everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kamuite Doctor Griez.....kule jiji la...Kale katoto kamekuja![]()
![]()
![]()
Kamuite Doctor Griez.....kule jiji la...Kale katoto kamekuja![]()
![]()
![]()
Ha ha ha ha ha ha na ujanja wako wooote umeangukia kwa msukuma ha ha ha haMuathirika............unahitaji kumuona Doctor kabla hatujakupoteza.
Nishakwambia mimi ni mwanasoka siyo shabiki km nyie, ila Nina damu moja nyekundu tu.Uhamie na Boca junior
Haki ya Mama hujui utamu wa msukuma!!! I wish uwe mwanamke........Ha ha ha ha ha ha na ujanja wako wooote umeangukia kwa msukuma ha ha ha ha
Unashabikoa man u Chelsea Barcelon madrid juve ac milan atletico. Sasa wewe ni mshabik au benderaNishakwambia mimi ni mwanasoka siyo shabiki km nyie, ila Nina damu moja nyekundu tu.
Simba,Yangaa,Mtibwa,ndanda,Sunderland,Gent,PSG,Lyon,TP Mazembe,Mbeya City,Kagera Sugar,The Black ......ohhhhh siwezi maliza ...Unashabikoa man u Chelsea Barcelon madrid juve ac milan atletico. Sasa wewe ni mshabik au bendera
Unashabikoa ndo Nini? Nashabikoa Barca tu.....Unashabikoa man u Chelsea Barcelon madrid juve ac milan atletico. Sasa wewe ni mshabik au bendera

Nenda kajipikilishe na watoto wenzioSimba,Yangaa,Mtibwa,ndanda,Sunderland,Gent,PSG,Lyon,TP Mazembe,Mbeya City,Kagera Sugar,The Black ......ohhhhh siwezi maliza ...
Hahhahah mimi na wewe mtoto anajulikana......Nenda kajipikilishe na watoto wenzio
Mimi mwenyewe nimeshangaa huyu kocha kaja kuiuwa chelsea kabisa sijui walimwokota wp kwa maana hakua na lengo kabisaPedro OFF - Kennedy ON
Willian OFF - Traore ON.
Sijui kama kuna la maana kafanya kocha. Loftus Cheek anafanya nini uwanjani,angetoka yeye abaki Willian.
Upi best nikumbushe....
Uhamie na Boca junior
Tuachie team yetu sisi wanazi #CHELSEA TILL I DIE# cc;Nonda.Dah hii timu sasa itanishinda
Teh teh mnaz mmeanzia kipindi cha MouTuachie team yetu sisi wanazi #CHELSEA TILL I DIE# cc;Nonda.
Nishakwambia mimi ni mwanasoka siyo shabiki km nyie, Ila Nina damu moja nyekundu tu.