SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Yeah. Nilikuwa na type wakati wanalirudia nika note ule mudaMkuu dkk ya 33 goli limeingia
Yeah. Nilikuwa na type wakati wanalirudia nika note ule mudaMkuu dkk ya 33 goli limeingia
Anyway game kaimaliza Kun dakika ya 50's na hata kuiongelea sasa haina maanaLabda tujaribu draw. Hebu ona mtoto wetu mwenye anatusumbua...De Bruyne ni better kuliko Willian kweli? sitaki kuamini. Shida sasa kina Willian wanalazimika sana kujanyuma kuokoa mipira hivyo attacking force yao inapungua sana.
Simpendi Mikel acha tu!!!
Hiddink hakuwa na lengo hilo my friend...Usajiri utakuwa mgumu kama atufuzu ata europa
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Bado una watch game?Shemeji upo?![]()
![]()
Dalili ya mvua mawingu hizo nafasi ndo magoli yenyewe hayo yanakuja
Mpaka sasa tunaongoza possession ila hakuna goli. One shot on target. Stupid kabisa. Hiddink must GO.Bado una watch game?
Mm sasa nime switch TBC naona Taarifa ya habari sababu hamna maana hata ya kuangalia hiyo game,KUN kamaliza game huko
naumia rohoni sana jamani daaah sijui tumekosa nini sisi?
anyway wazima humu ndani ?
#ktbffh
Tuambie la tatu litafungwa dakika ya ngapi ?Yeah. Nilikuwa na type wakati wanalirudia nika note ule muda
Tayari la 3?Naona TBCTuambie la tatu litafungwa dakika ya ngapi ?
Wife kaniambia kuwa sasa eti mmeamua kichezesha experimental squad?Mpaka sasa tunaongoza possession ila hakuna goli. One shot on target. Stupid kabisa. Hiddink must GO.