Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama ni mtu wa kukata tamaa kwa msimu mmoja tu,basi bora nikutakie safari njema but kumbuka kila team hupitia matatizoni kwa wakati wake,Sisi ndio CHELSEA win or lose.
Hapana naweza pata heart attack
 
Chelsea's Premier League record after 33 games this season:

11 wins
11 draws
11 defeats

Balanced Diet
unadhurura kwenye miji ya watu, hujui kule kwenu familia yote imeangukiwa na jumba bovu??

NENDA KAZIKE WW, ACHA UDHURURAJI!
 
Jaman mnafatilia team yetu ya watoto u 19 inacheza final leo na psg dk 28 kumbuka hawa ndio mabingwa watetezi wahili kombe ya youth uefa leage
 
EDEN HAZARD AMEFANYA MAAMUZI JUU YA HATMA YAKE CHELSEA

Eden Hazard amemwambia kocha anayekuja Chelsea Antonio Conte kwamba atasalia kwenye kikosi hicho licha ya kuwepo kwa taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kwamba ataihama klabu hiyo.

Mbeligiji huyo ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa Premier League amekuwa hayuko kwenye kiwango kizuri msimu huu huku akiwa bado hajafungia Chelsea goli hata moja kwenye meechi za EPL.

Hazard amekuwa akihusishwa kuhama Stamford Bridge huku vilabu vya Real Madrid na Paris St-Germain kwa pamoja vikihusishwa kuitaka saini ya nyota huyo.

Laikini kwa mujibu wa gazeti la The Times, mshabuliaji huyo mwenye miaka 25 ambaye anamkataba wa miaka minne na The Blues, amemwambia boss wake ajaye kwamba anahitaji kuendelea kubaki Stamford Bridge kuliko kuondoka.

Kocha huyo wa kitaliano amefurahishwa na taarifa za Hazard kutaka kubaki na yuko tayari kumpa nafasi ya kuonesha makali yake kwenye kikosi atakachokiongoza.
 
Akija konte anatakiwa awabakishe hawa tu tiba cotous wiliani oscar fabrigasi na petro baasi wengine wote waachwe asajili timu mpya kabisa maana hakuna namna sasa
Mmmh Petro...?
Huyu mchezaji mmemsajili mwaka gani...?
 
Chelsea 2-1 PSG UEFA Youth League Final RESULT: Kasey Palmer's second-half strike helps Blues defend their European title

Chelsea win the UEFA Youth League with victory over PSG in Nyon.

Fikayo Tomori hands Chelsea an early lead from close range

Defender gives away penalty within 90 seconds of putting his side in front

Bradley Collins saves the spot-kick from Jean-Kevin

Augustin Yakou Meite strikes in the second half to equalise for the French club

But Kasey Palmer takes less than two minutes to restore the Blues' lead

English club remain unbeaten in the competition since November 2014
 
Kwangu mimi msimu umeisha lakini sijapost huku kwa kuwa niko kwa bibi yangu hivyo siangalii mechi jamani.

Nimefurahia magoli ya Hazard na assists za Fabregas hasa baada ya speech zao za mid week kuwa bado watabaki Chelsea.
 
Nimepata sehemu wanaonesha Supersport 11 HD..wanasema saa mbili unusu watarudia mechi yetu. I cant wait...ingawa najua matokeo ila nataka nione jinsi Mikel alivyocheza centre back.
 
Nimepata sehemu wanaonesha Supersport 11 HD..wanasema saa mbili unusu watarudia mechi yetu. I cant wait...ingawa najua matokeo ila nataka nione jinsi Mikel alivyocheza centre back.
He has done very good. I'm so pleased with him.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom