Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mentor
Ntuzu
Huyu kipa wenu alipokataa kuji commit kubaki Chelsea mwakani alistahili akae bench na auzwe,Ile interview yake ya week ya juzi aliongea kama sio PRO kabisa!Wachezaji kama hawa wana shusha morari ya wenzake

Alinikera sana huyu kipa wenu
 
Mkuu sijawahi penda team tofauti na hii kwa England sema tu mwenendo wa The Blues sahivi unanichosha kila siku.
Mbona hii ilikuwa kawaida enzi za Gianluca Vialli na Kapteni Dennis Wise. Ukipanda mlima upande wa pili ni kushuka. Mtanange umeisha. Tupeane pole. Mwaka huu hata usindikizaji hatumo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom