Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

conte ndo mtu sahihi wa kuifundisha team kubwa calibre ya chelsea.
Hongereni wakuu kwa kupata kocha mpya natumai msimu ujao malalamiko yenu yataisha
unazijua habari za chelsea kuliko za timu yako Arse8888.
Habari ni hii. Mafiaso wa kirusi anamleta mafiaso wa kitaliano. Soma umafiaso wa Conte. Atawafungisha ili yeye akusanye mapato ya "betting".
Link Antonio Conte: Call for suspended jail sentence in match-fixing case
 
  • Thanks
Reactions: Lee
mkuu hiyo habari ni ya mda na alitumikia baadhi ya adhabu.
Mnakumbushwa tu kwamba mmeletewa kocha mafiaso kama hilo mnalijua na mmeamua kuuza mechi, poa tu. Mkiona mnapoteza mechi ambazo kwa kawaida mlitakiwa mshinde chini ya mhusika "wa habari habari ya mda" msije na kulalamika. Mjue mafiaso kafanya "betting" ya nguvu.
 
John Terry's PFA team selection..,

f8fa52d2eafba74b7011822b62a9c3e0.jpg
 
Pato, Mikel na Loftus Cheek ni wa kupigwa sub....

Ingiza; Traore, Kennedy, Colkett in that order.
 
Thupu imetiwa nazi hainyweki tena acha tu huu msimu upite kwiiii kwiii,Unbeaten leo mdomo mzito hakuna la kuzungumza.
 
Hii ndo sababu Hiddink hakupewa timu.uwezo wa kusoma mchezo hakuwa nao kabisa.

Ila wachezaji nao wazitoooo nilitamani angeweka watoto tu timu nzima.
 
Yani Conte ana kazi balaa..kuna wachezaji wengi sana wa kusepa na wa kusajili mpaka namuonea huruma.

Good thing tuna local games tu hiyo itusaidie kutengeneza bond nzuri kwa ajili ya msimu wa 2017/2018 european competitions.

Pato, Falcao, Mikel, Rahman Baba, Loftus Cheek, Pedro, et al ni wa kuondoka kupisha wachezaji wengine kuingia.

Traore anaweza kubakishwa kama backup ila bado tunahitaji backup striker number mbili ambaye anaweza pia kupangwa na Costa in some matches.
 
Kweli Mento, sometimes hadi shabiki anatamani aingie acheze
Jamaa leo walikuwa wazitoooooo wakiongozwa na Pato....duh kweli bado hana match fitness ni mzito balaa. Chances zake angezipata Traore ingekuwa stori ingine yani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom