Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hidink muhuni kikosi gani sasa kile hatufanyi majaribio sisi tunataka angalao nafasi ya europa league ati ameniboa sana huyu kocha nilijua tutapoteza tu toka mapema analeta habari za kiluis van gaal hapa
 
Hii ndo sababu Hiddink hakupewa timu.uwezo wa kusoma mchezo hakuwa nao kabisa.

Ila wachezaji nao wazitoooo nilitamani angeweka watoto tu timu nzima.

Alipokwenda 6 games bila kupoteza alionekana anafaa kuwa pamanenti, ila leo hafai. Sie washabiki ni shida
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Alipokwenda 6 games bila kupoteza alionekana anafaa kuwa pamanenti, ila leo hafai. Sie washabiki ni shida
SIJAWAHI.....SIJAWAHI kusema Hiddink anafaa kupewq timu. Fuatilia hata huku JF nimekuwa nikibishana sana na kina Ntuzu juu hilo...SIJAWAHI KUTAKA HIDDINK ABAKI.

Jana mwenyewe kakiri lengo lake ni kuhakikisha hatushuki daraja...sasa huyo ni kocha gani mwenye malengo duni hivyo. Jana tungeshinda tungepanda hadi nafasi ya saba...haijalishi wengine wangepataje ila cha muhimu ushindi, at the end ndo tutajua. Yeye keshajiona kamaliza kazi yake..kaniboa sana na speech yake jana fala sana hiddink gunzi.
 
Teh teh teh teeeh, Pole sana mkuu., ndo soka hilo., hebu rudi mwaka mmoja nyuma muda kama huu ulikuwa unaishi kama Leicester now. Ni kama vile mmepokezana.
 
kwa namna ligi anavozidi kuchanja mbuga,,ubingwa unamuhitaji leceaster kuliko wao wanavouhitaji
 
Yani Conte ana kazi balaa..kuna wachezaji wengi sana wa kusepa na wa kusajili mpaka namuonea huruma.

Good thing tuna local games tu hiyo itusaidie kutengeneza bond nzuri kwa ajili ya msimu wa 2017/2018 european competitions.

Pato, Falcao, Mikel, Rahman Baba, Loftus Cheek, Pedro, et al ni wa kuondoka kupisha wachezaji wengine kuingia.

Traore anaweza kubakishwa kama backup ila bado tunahitaji backup striker number mbili ambaye anaweza pia kupangwa na Costa in some matches.

Mentor nilikua nadhani una uelewa mzuri sana wa mpira but naanza kudoubt chambuzi zako
Loftus cheek aondoke...aende wapi?
Nadhani ungepitia upya historia/background yake,,skills,perfomance/what he can offer kwa timu currently n in a longrun,speed yake ya ku evolve/mature na skills development via training na usisahau kujikumbusha na age yake afu uje urekebishe comment yako apo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom