Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Still unbeaten in 2016......amazing

31E31B5A00000578-3478104-image-a-15_1457194069440.jpg
 
Vipi hapa? Mama Diouf ameharibu hao magarasa au nini kimekufanya uwe "mpole" Mentor?

Yokohama imeanza safari vizuri tu iko nafasi ya 10 au?
Ntuzu anamfata Mou Aston Villa au anabaki Daraja bovu?

31E31FBC00000578-3478104-image-a-31_1457194217686.jpg
 
Leo tulikuwa twaenda nafasi ya 7 point 42 ujinga wa kocha kuchezesha wachovu kisa psg wakati kule twajua tunatoka

Naona mnalalamika sn km timu imepoteza.

Lazima tucheze kwa tahadhali ili kukabiliana vzr na PSG
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nitamlaumu Guus km atafungwa game ya PSG

Lkn kwa alivyopanga kikosi Jana nategemea anajiandaa vzr kukabiliana na PSG.

So kwa mtazamo wangu japo kua tumepata sare bado ni matokeo mazuri
 
Nitamlaumu Guus km atafungwa game ya PSG

Lkn kwa alivyopanga kikosi Jana nategemea anajiandaa vzr kukabiliana na PSG.

So kwa mtazamo wangu japo kua tumepata sare bado ni matokeo mazuri
Au vipi bandugu, Sare ni matokeo mazuri?
 
Leo tulikuwa twaenda nafasi ya 7 point 42 ujinga wa kocha kuchezesha wachovu kisa psg wakati kule twajua tunatoka
"Polepole ndio mwendo" au unataka Mourinho arudi mkuu?
Guus amewatoa nafasi ya 17-16, kwenda 15-14., 11, 10 ..... hiyo nafasi unayoitaka ya 7 inakuja.
Guus anataka mkataba wa kudumu sio wa kuivusha Yokohama na relegation tu.
 
na wewe pole pole na arsenal yako mtabebaba ubingwa.
 
na wewe pole pole na arsenal yako mtabebaba ubingwa.
Wewe uliza Ntuzu au Everlenk atakutajia timu zangu, moja inashuka daraja, uwezekano 90% ingine itatwaa taji kutoka Daraja bovu.
"Chenga twawala ina wenyewe" akina Ding dong na Khe khee kheeeeeee.

Basi la Mou limebadilisha matairi au dereva? Ingawaje linayumba yumba linaonekana kusonga mbele.
 
Nitamlaumu Guus km atafungwa game ya PSG

Lkn kwa alivyopanga kikosi Jana nategemea anajiandaa vzr kukabiliana na PSG.

So kwa mtazamo wangu japo kua tumepata sare bado ni matokeo mazuri
Mnacheza lini na PSG marudiano?
 
Hii ni dalili kwamba umeshakubali kipigo cha kesho. Yule Abrahamovic ni "mhuni" kuliko Costa.
Mmeepuka relegation msimu huu, hali hiyo ni "ubingwa" tosha kwa mabingwa wa msimu uliopita.

Nonda niaje Mkuu.

Uko pouwa kaka? Nimekutumia PM kibao tu naona haujibu.... Au hutaki buguza???

PSG anapigika kesho bila wasiwasi wote ule
 
  • Thanks
Reactions: Lee
washabiki wote wa ligi ya uingereza tuisapoti chelsie kwa pamoja kwa sababu ndio timu pekee yenye uwezo wa kubeba ndoo kubwa na kesho ni kama fainali tutamwazibu psg then hao wengine ni nyanya tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom