Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

asante mkuu ushindi kawaida yetu, hao man shit mtori tu kwetu" tutawatandika mpaka utawaonea huruma ..............
Vipi hapa wa daraja bovu?
Mafiaso ametoa mapesa ya kupaka rangi daraja?

Mlifurahi kuwaadhibu wababe wa Man. United 5- 1 , FA wameamua kuwajaribu kama mnaweza vita.
Mafiaso wa Man.City(mtu pori) wametangaza rasmi mwisho wa Yokohama. Umesikia au vipi?
Yule jamaa mrembo ambaye vikombe/mataji yanapomsikia au kumwona tu yanajipeleka yenyewe anatua Porini kiangazi kitakapoanza.
Mafiaso wa kirusi itampasa ajitayarishe kwa kuweka karibu panga la kuwakata kichwa makocha atakaowapa kibarua.
Haya bandugu kaeni mkao wa kuliwa.

Mwendo mdogo mdogo kumfukuzia Arsenal. Kumtimua Mou ulikuwa uamuzi mzuri. Guus anapapatua vizuri tokea ameingia kukarabati daraja.

Ntuzu imehamia wapi?
 
embu tushauri na leo tushinde tano, au tupunguze dozi.
 
The Blauz oyeeee
Gunzi Idd ink oyeee
Daraja bovu oyeee
Mtaa wa 13 oyeee
 
na wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa kocha", ..............agriiiiiii#@$&"$*
 
Am glad sikwenda kuangalia mechi ingawa niliwahi kulala...nikaweka na alarm muda ukifika niamke. Glad i had some nice sleep badala ya hii pumba hiddink anatuletea.

Hiddink anajali sana rekodi yake kuliko matokeo. Kwamba hakufungwa ila wachezaji aliopanga jana sijui alitarajiaje kwa kweli
 
12592423_1109229619111790_4879497253328517969_n.jpg
 
Hivi hizi habari za Massimiliano Allegri kuja Chelsea ni za kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom