Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Hapo mkuu ni kweli kabisa, angalia faulo ya Bellet aliyepewa Red card na ya Vidic ambaye hakupewa Red card ndo utagundua umafia wa marefarii. Faulo ya Vidic ilikuwa ya muonekano wa wazi ya Bellet alimgonga mchezaji lakini si makusudi lakini Bellet alipewa Red card na Vidic faulo ya wazi alicheza mpaka mwisho.Mkuu
Unafikiri washabiki wenzako wa Mafia team aka Chelsick watakubali? Hapa tupo kwenye burudani ukifungwa una leak your wounds ukishinda unasheherekea. Ligi bado ndefu hadi mwezi May ndio tutafahamu hatma ya Premier League lakini kuna wenzetu walianza kudai hili kombe kuanzia November last year.
Tatizo kubwa la EPL hivi sasa ni marefa kuto kutoa uamuzi wa haki wanapochezesha mfano wa jana Arsenal Ramsey alifanyiwa fujo na refa hakutoa kadi kwenye penalty box na ni mchezaji yule yule aliyemvunja mguu, kama angeonywa au kutolewa kwa red card tungekuwa tunaganga mengine, na leo Aston Villa Vidic alitakiwa kupewa red card lakini aliendelea kucheza hadi mwisho.
Hili naliona kama tatizo kubwa sana. Nilikuwa nafikiri limekwisha hasa baada ya wakati ule miaka michache iliyopita wakati Tottenham Hotspurs walinyimwa goli ambalo liliwasaidia Manure kuchukua ubingwa - Umafia umeingia sana kwenye soka how to clean it ndio big question hivi sasa, kwa sababu there is a lot of money in this sport.
....Guys, It is just a Game. Mwajifichia ni?! 😀
Peasant pole sana kwa masahibu yaliyokukuta,
karibu tena jukwaani.
Mkuu kama hivi tumerudi kwa kishindo jukwaani hali haikuwa nzuri sana last week ila bado tupo na ligi ndo imefika patamu tumewaongezea matumaini ya ubigwa hadi hapo.Jamani hivi Masanilo,Peasant na Mvina ndo kusema wametokomea kabisa ama ndo wameamua kuwa guests wa JF moja kwa moja...Kweli kufungwa(hasa ukiwa na maneno mingi) kubaya sana jamani
Mkuu kama hivi tumerudi kwa kishindo jukwaani hali haikuwa nzuri sana last week ila bado tupo na ligi ndo imefika patamu tumewaongezea matumaini ya ubigwa hadi hapo.
Washabiki wa Chelsick sio wote wamechukua indefinite leave kama Tiger Woods hadi matanga yatakapokwisha kwi kwi kwi kwi .......LOL (I mean self imposed ban)
Indefinite leave ... ... LOL.
Hivi Masanilo kapewa BAN?
Mkuu nina imani kocha lazima atafanya marekebisho ili kunusuru hali iliyotukuta isiendelee na baadhi ya majeruhi naona karibu watarudi ukiondoa Cole.Wana Chelsea i think hatupo kwenye crisis baada ya kupoteza game mbili mfululizo, i still believe on Carlo Anchelotti, lazima afanye mabadiliko katika kikosi chake cha kwanza na kubadili tactics, midfilder haijacheza vizuri game zote mbili - ya inter na city - hasa holding mid. hapa ndiyo wakati mzuri wa kuangalia nini kocha anaweza kufanya. jmosi kwenye kombe la FA wapenzi wa chelsea angalieni mfumo atakaotumia - kuhusu JT - yeah anaweza kuwa ameathirika na sakata lakini nakataa kabisa kuwa ndiyo chanzo cha chelsea kupigwa hizi game mbili.
Kuhusu beki wa kushoto - pia kocha nafikiri atalifanyika kazi - wapenzi wa chelsea bado tumo kwenye makombe yote 3 muhimu - nafikiri kipindi hiki ndicho cha kuonyesha how strong tulivyo.
Duh kumbe huyu mdada bado anammind mshikaji?
acheni kutuharibia club waungwana!
Mafioso team hawana aibu hawa, no role models kwenye hii timu ... ....
Achana na hii mijitu iliyokaa kikupiga chabo wengine wakifaidi.acheni kutuharibia club waungwana!