Zouma - injured
Matic - suspended
Matt Miazga - unfit
Alexander Pato - unfit
Oscar - injured
Terry - injured.....
hapo wa muhimu sana zouma na Terry kidogo ila Oscar kawaida sana...hana consistency, unawezamtegemea kwenye game fulan akambwela!Tutafanya vzr ata km hao hawapo!
Naangalia ma-dm sn maana hapa Yule dogo Ruben na Obi na Faby itabidi wasimame kati kwa nguvu na pia naona uwezekano wa Ivanovich na Cahill kusimama kati then Azpilicueta kurudi beki kulia na Baba kucheza beki kushoto.hapo wa muhimu sana zouma na Terry kidogo ila Oscar kawaida sana...hana consistency, unawezamtegemea kwenye game fulan akambwela!
All the bestPRODIGAL SON HUYU MIDFIELDER:
![]()
DHIDI YA KINDA WETU ANAYECHIPUKIA (wanauliza anaweza ku-shine kama Zouma?..huenda ndo nafasi yake ya kutoka...kuhakikisha Maria hatoki mfukoni kwake):
![]()