Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata wapenzi wa Arsenal wanalia sana kuhusu ugumu na mpangilio wa mitanange ijayo. Ratiba hazijakaa kirafiki sana.
 
0decd4a611d0edb829e6a372936da808.jpg


Naona tunapanda. Iwapo kila mechi kuanzia sasa tutashinda, tutakuwa pazuri tu
 
Mi naomba tushinde game tatu kwanza, sema ni uzembe wa kocha tu! kuna game za kushinda nyingi alizifanyia uzembe ..............
Zile game zilikua ni ngumu ndio maana akaingia na ile approach.
 
12711175_10154088906227259_48536575171030118_o.jpg


fabripass ni noumaaaa .............. hapo anaonyesha kuwa anamaono ya mbali.
 
Zile game zilikua ni ngumu ndio maana akaingia na ile approach.

kuna game against watford na bournamouth sidhani hat kama kulikua na haja ya kupaki basi, game ya man u na ya Everton pia zilikua zakushinda kabisa ........... hata game yamarudiano agaist Leicester sidhan kama kuna haja y kupak basi.
 
kuna game against watford na bournamouth sidhani hat kama kulikua na haja ya kupaki basi, game ya man u na ya Everton pia zilikua zakushinda kabisa ........... hata game yamarudiano agaist Leicester sidhan kama kuna haja y kupak basi.
Swala si kupaki basi.... Swala ni kutengeneza safu ya ulinzi imara na kutokupoteza mchezo ili kujenga kujiamini wachezaji.... Na hii imesaidia kiakili wachezaji wote ile hari ya kua wanaweza kufanya makubwa imerudi.

Swala jingine DM kusimama wawili hii inatokana na timu pinzani iko na wachezaji gani ndio maana kocha na yeye anamuweka Obi na Matic. Kwa mfano Man U walipoanza na Carrick na Fellaini km ma- DM wewe ukiweka kwako legelege lazima wakuduge tu.

Na pia kupanga viungo nguvu wawili kumesadia mtu km Faby kua huru ambae alionekana kushuka kiwango kidogo lkn kwa sasa ana jukumu moja tu ni kuchezesha timu na si kukaba sn huo mpira anaopiga ni wa hatari sn.

Sema kwa sasa tunahitaji nguvu sn ktk kushambulia maana bado tuko butu sn. Hawa watu km kina Pedro, Hazard na Willian na Faby wanapaswa kuanza kila game ili iwe attacking football ya ukweli! Alafu huku kwa DM ambaki Ombeni Sefue a.k.a Obi maana huyu Obi utawala uliopita ulikua haumtumii sn. Lkn utawala huu ni nouma! Na yeye kaonyesha uwezo wake haswa. .
Nasubiri kuona game ya PSG jinsi atakavyolidhibiti dimba la kati.
 
Arsenal captain left...won trophies in spain, come back..won league with chelsea. still no tittle for arsenal!!
Mmmmh matusi bana

Ila Fab mzuri kwenye darubini zake
Ile Pass ya Pedro na Hazard ni noma
 
Tujikumbushe kabla hatujaanza kuuangalia mtanange wa kesho...:

312BFE0700000578-0-Chelsea_striker_Costa_celebrates_giving_his_side_an_early_lead_a-a-39_1455492235175.jpg


312BFC9400000578-0-Costa_rounds_the_last_defender_to_finish_calmly_inside_five_minu-a-37_1455391911853.jpg


Jamaa yuko very calm and composed siku hizi. Zile vurugu zimeondoka na Mourinho. Sasa hivi ingawa bado ni mkorofi ila yuko focused zaidi kwenye mchezo kuliko ugomvi!!!!
 
312C4F9A00000578-0-Chelsea_captain_John_Terry_was_substituted_in_the_first_half_aft-a-32_1455391903740.jpg


312C550900000578-0-image-a-43_1455392073835.jpg


Captain..Leader...Legend!

Huyu jamaa natumai atapona in time kuwa fit kucheza leo..bonge la pigo kwetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom