nyie the Chelsea kama wachawi wamenunua 18 yule mmakonde
Halaf mmemuuza 25 huku akiwa bench warmer
Siku hizi mnajua sana biashara ya kuuza but mna tatizo kubwa kwenye kununua (Djijoboji, Baba Rahman, Cuadrado, Remy, Falcao, Pedro ) wamechemshaHe wasnt entirely fit...!
Hata hivyo we have Kennedy to do his job
Siku hizi mnajua sana biashara ya kuuza but mna tatizo kubwa kwenye kununua (Djijoboji, Baba Rahman, Cuadrado, Remy, Falcao, Pedro ) wamechemsha
hivi mnasemaje mchezaji kachemsha na hajapewa chance?Siku hizi mnajua sana biashara ya kuuza but mna tatizo kubwa kwenye kununua (Djijoboji, Baba Rahman, Cuadrado, Remy, Falcao, Pedro ) wamechemsha
Kitendo cha kutopewa nafasi ni kigezo mojawapo cha kuchemshahivi mnasemaje mchezaji kachemsha na hajapewa chance?