Jt ndio kikwazo kama ile saga ya Jose Jt ndio mtu mwenye sauti kweny dressing room so lazima asepeAisee nimekasirika sana leo...hata furaha ya kuwafunga wababe wa kina Belo imepotea kabisa yani....vigezo gani wametumia kumnyima JT mkataba aisee....WQHYYYYYYY??????
Jt ndio kikwazo kama ile saga ya Jose Jt ndio mtu mwenye sauti kweny dressing room so lazima asepe
mnataka acheze chelsea milele! tuna vijana wengi wanakosa nafasi ya kucheza, mchango wake tutauheshimu kama ma legend wengine akina D Matteo, zola, Drogba, dessaile na wengine, his time is up, ni muda wa kutengeneza ma legend wengine
Atahitajika mpaka lini! timu yetu ina tatizo la beki wa kati hilo nadhani unalijua, nadhani unajua tumeruhusu goals nyingi kuliko misimu yote, kwahiyo summer lazima tusajili beki, Terry anachukua pound 150 kwa wiki na ana miaka 35. nadhan kuhusu dressing room tuna wachezaji viongozi wazuri tu mfano fabrigasAnahitajika sana dressing room!!!
Atahitajika mpaka lini! timu yetu ina tatizo la beki wa kati hilo nadhani unalijua, nadhani unajua tumeruhusu goals nyingi kuliko misimu yote, kwahiyo summer lazima tusajili beki, Terry anachukua pound 150 kwa wiki na ana miaka 35. nadhan kuhusu dressing room tuna wachezaji viongozi wazuri tu mfano fabrigas
kweli mkuu, ivonovic ndiyo vice captain wetu ila hana convincing power, naungana na wewe but inabidi tuandae mbadala wa Terry as soon as possible.Fabregas ana loyalty gani na Chelsea aisee mangi!??? Heri hata ungesema Ivanovic.
Halafu kumpa mtu mkataba haimaanishi anacheza mechi zote. Heck hata akicheza mechi kumi msimu mzima am sure JT will take that offer for the love he has for Chelsea na sio kwa kuwa kakosa sehemu ya kwenda! He is one player who -in my view - should get the nod mpaka mwenyewe aseme inatosha!
Another option would have been a pay cut which hata msimu uliopita alisema haina shida kwake..for the love of the club! Leo hii muambie Fabregas achukue pay cut ili abaki Chelsea kama atakubali!
There is more Terry offers than game time my friend..a lot more than is superficially seen. Na mimi naona huu ni mpango wa Emenalo...that black dude trying to do away with all those who have voice in the Chelsea Staff room!!!
kweli mkuu, ivonovic ndiyo vice captain wetu ila hana convincing power, naungana na wewe but inabidi tuandae mbadala wa Terry as soon as possible.
Zouma pia ana passion na timuHapo kwenye mbadala ni kumaanisha mtu ambaye atatokea academy...kwa sasa kuna Loftus Cheek labda na madogo walioko kwa mkopo sehemu nyingine!
Au Ola Aina ila nao kupata chance ni shida hivyo hatuwezi kujua kama atapatikana wa nature ya Terry!