Angalau sasa naweza comment maana mpira unachezwa vizuri kiasi.....
Hatujafungwa hata kidogo... na yule flop wetu anacheza vizuri zaidi
Costa alioneakana butu kabisa ila kiasi fulani karudi, ingawa timu nzima ni kama imelalaFlop yupi? Maana ni kama timu nzima ilikuwa flop!!!