Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukiwachapa tu The Blauz halaf kina Norwich wakishinda TOP 3 YA MKIANI (Nafac ya 18 inawahusu kina @Ntuzu...@Mentor..@ENZO..@Root NA wapambe wengine
 
2F9FA4AA00000578-3375742-image-m-16_1451255480671.jpg

0 United have not beaten Chelsea in any competition since Sir Alex Ferguson’s retirement, a run of eight matches dating back to a 3-2 win on October 2012.

5 There have been five red cards in the last six Premier League meetings between these two sides – three to Chelsea, two to United.

3 Guus Hiddink has won his last three competitive meetings with Louis van Gaal; all with PSV against AZ Alkmaar in Holland in 2005-06.
 
Nyie vibonde kweli yaani mmeshindwa kunifunga ... ...... @Th Name nimeamini maneno yako.....Hongereni kwa point moja.......ohhhhhh yesss ligi ndo inaanza kwa kumchapa Man U 5 thubutuuuuuuuuuu!!!!!.....lol
 
Tukiwachapa tu The Blauz halaf kina Norwich wakishinda TOP 3 YA MKIANI (Nafac ya 18 inawahusu kina @Ntuzu...@Mentor..@ENZO..@Root NA wapambe wengine
nyie hamuoni ndio mnaelekea mkiani ............. angalia chelsea inatoka wapi inaelekea wapi, na manure inatoka wapi inaelekea wapi.
 
Chelsea players were pathetic jana usiku.

Guus Hiddink alithibitisha ni kwa nini akaitwa interim coach...mpaka dakika ya 60 hujaona mabadiliko kwenye mchezo na hufanyi mabadiliko utakuwa unataka nini sasa!

Game unaanza na Zouma na Mikel kwani tunacheza na combined team ya Barcelona na Madrid???!
 
Hiddink kazi yake ni kuhakikisha mshishuke daraja kwa jana amepata matokeo mazuri
 
Slow ndio aliwatungua darajani msimu huu amefanya Agosti8 dawa kamaliza anatumia za Miti Shamba tehteh haonekani.

sasa mkuu kwa vile amefunga tu ndio niseme hayupo slow?! kwanza game lenyewe siku ilikua yenu mlishinda kwa bahati. ........... we upewe giroud na benteke utamchukua nani?!
 
Clearly ndicho kilichotokea, kocha hakutaka tushinde! very stupid indeed...
Kwema hapa ndugu yangu?Week hii mna matumaini yyt angalau ya point moja?

Majogoo yanaenda kuwika ugenini kwa WHU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom