Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
yaliyomkuta mamba leo yasije mkuta boko
Hahahahahaaa
yaliyomkuta mamba leo yasije mkuta boko
Nipo mkuu
Naona Oscar anamuhujumu Hidink
Ndo kasema hivyo?
Hii penati aliyokosa ingekuwa enzi za Mourinho mngesema wanamhujumu
Usisahau kuja kukanusha utumbo wako huuleo tunampiga watford 3-0
Hii penati aliyokosa ingekuwa enzi za Mourinho mngesema wanamhujumu
Mambo ya Mourinho yameshakwisha... Sasa tunaangalia mbele.
Jumatatu ni zamu yako
point1 si haba bora tungebak tu bila kocha, hongerani na nyie kijana, ila mlikua mnapumulia mashine dk. za mwisho,benteke yupo slow sanaa.......
Huenda ikawa mechi ya mwisho LVG kushinda kabla hajafukuzwa
Mou amefungishwa virago, timu imegoma kufungwa. Timu inacheza vizuri lakini timu ya shamba Watford ilisafiri kwa basi kuja daraja bovu. Walipata moyo walipoona kiwanja cha ze bluuz kinafanana na cha kwao, wamezoea kucheza katika viwanja vya aina hii.Nipo mkuu
Usisahau kuja kukanusha utumbo wako huu