PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Hahahhaha wakati huo huna hata ndoto ya Wewe kuwepo hapa duniani,vingungwe tumetulia tu tunaona vijana mnavyobishana...lol
underground mjukuu wangu hujambo?
Hahahhaha wakati huo huna hata ndoto ya Wewe kuwepo hapa duniani,vingungwe tumetulia tu tunaona vijana mnavyobishana...lol
Nchameee na wewe Bwana..... Au unataka uende kwa hicho chanafunzi?
ha ha ha ha ha ha dharau hzo kijan wewe hujui wazee ni hazina
Hakuna sumu yoyote ile tumepewa. Marefa wa FA kwa namna moja au ingine wanakosea sn.... Na wanazihujumu sn timu zingine. Wachezaji pia wamekua mizigo kwa baadhi sasa ktk hayo mi namuona Mou yuko sahihi kabisa kwani haiitaji mpk uvae miwani kuyaona hayo.
Mourinho ni mshindi siku zote ndio maana hawezi kukiri kua ameshindwa leo. Ukitaka kumshinda Mou lazima umfanyie fitina. Lkn km ni hivi tu lazima akupige tu
mapenz yako kwa morinho yanakufumba macho! wapo makocha kibao wazuri zaidi yake, kwenye ukweli wanakubali kuwa kweli game lilikua tafu. morinho ni mshindi siku zote sikatai lakini mshindi wa kupaki malory.
kama sio sumu embu niambie!' unasema kuwa walikua wanamfanyia kusudi, niambie ugomvi wao ni nini?! .............
Kupaki lory ni moja ya mbinu ya mpira wa miguu mi sioni km ni hoja sn kila Mara usemapo kupaki lory au bus. Hiyo ni moja ya mbinu ambayo kila kocha anaweza kuapply. Kwa mfano makocha wengine wanaamini kua kushambulia sn ni moja ya njia ya kumzuia adui lkn kwa Mou anaona njia nzuri ya kujilinda ni kupaki lory na kutumia makosa ya timu pinzani kupata goli. Mfano ata ktk ndondi Maywhether amekua bondia mzuri na asiye pigika kwasababu ya kujilinda vzr. Lkn Manny Paq amekua akipigwa pamoja na uzuri wake kwasababu ya kushambulia sn na kuachi mapokezi yake kufumuliwa. Mfano mzuri ni mpambano wake na Marquez ule aliopigwa mpk kuzimia. Sasa tukija kwa Mou ni muumini wa kujilinda na hiyo mbinu inampatia mafanikio.
Nimekua nikimfatilia Mou ktk timu zote alizopita karibu ya michezo yake asilimia kubwa ya michezo alishindwa kwa fitina. Sasa km alishindwa kwa fitina unataka akubali tu kua game ilikua tough? No haiwezekani.
Kweli Nina mapenzi sn na Mou kwasababu naamini ktk falsafa yake kua mchezaji wake yoyote Yule anaweza na star km mastar wakubwa ndio maana alipotua Chelsea pale awali wachezaji wa timu ya Chelsea wote walikua na uwezo mkubwa wa ustar hali ya juu. Hii ni moja ya falsafa yake ninayo ipenda. Ni mwanamapinduzi mkubwa wa soccer na amefanya soccer kua na ushindani mkubwa. Wataalam wa soko wanamuhitaji sn Mourinho kuliko unavyoweza kufikiri.
Ugomvi wao ni viwango vyao kushuka. Na akiwambia hawakubali. Akiwaweka benchi wanachukia.
mpira ni burudani bhana, hiyo falsafa yake ya kupaki malori sio. ingekua mpira ni magoli peke yake" timu zingekua zinaingia uwanjani kupigiana penalt tu basi.
morinho anakuza mastaa au anaua mastaa?! hao mastaa waliokuja darajani ni kwasababu ya nguvu ya pesaa ila sio morinho. tumebeba UEFA hata bila huyo morinho.bila morinho chelsea itakwepo na itazid kwepo.
mi nachojua vipigo vimeanza tokea pre-season, na game la community shield pia tukachezea, na hata kabla hawajawekwa benchi pia tulichezea, hata wakiwa benchi pia tukachezeya! ...............
kwa hiyo kama ni bifu useme lilikua tokea pre season ndio nitakuelewa. ndio mana nashangaa watu wanashabikia sijui kulikua na bifu, ukiwauliza bifu gani? hawajui.
Mpira ni ushindi hiyo burudani kaa nayo wewe mwisho wa siku ushindi ndio kila kitu.
Naomba uniambie ni kipaji gani cha mchezaji ambacho Mourinho alikiua ata wakati alipokua timu zingine? Niambie ni mastar gani wenye level ya kina Zidane au De Lima au Gaucho walikuja Chelsea Mou akawauwa? Au Mou anasajili wachezaji wazuri na sio mastar na kuwafanya wachezaji wakubwa na mastar na imara? Sio pesa tu ndo inawafanya wachezaji kuja Chelsea, wanakuja Chelsea ili wafundishwe na kocha bora. Km mpira ni burudani basi fifa wangepitisha hiyo kua sheria.
Uefa km Mou angeendelea kuwepo hapo Chelsea angeibeba tu maana hiyo ndio azima yake.
Okay hili swala la wachezaji kushuka viwango limeanza kitambo sio kipindi hichi tu
Trueee
Nipo mkuu