ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,746
Nimechukia sana Jose kuondoka darajani!
hawa 3 rats nawachukia zaidi kwa sasa! 10, 19,4
kwanini msihame nae tu wakuu.
ili nafsi zenu ziridhike.
Daah jose' akitua man itaniuma sana kama inavyo niuma kuondoka chelsea,na hakika tukikutana na man U ya jose' tumekwisha tutachezea kipigo kama paka mwizi vile.