Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

At least you say the truth about your mother because you know her, it will be impossible to speak about someone you haven't met. It shows the truth of what I was saying .. ... your bringing up, with that type of education, you will never grow up. Happy days. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

cho.ko tu wewe ..........
 
Wachezaji wa Chelsea muliosababisha mpaka Mou afukuzwe umeniwekea kinyongo na timu yangu
 
Pellegrini to the bridge
 
Attachments

  • 1450712139922.jpg
    1450712139922.jpg
    45.4 KB · Views: 99
bato ya nini sasa mkuu na wewe upo nafasi ya tisa ........ Klopp ataishia kufukuzwa, ni maoni yangu lakini.

We uko nafasi gani?

sisapoti kabisa kuja hicho kibabu" kama wakifanya hivyo Abromo atakua amebugi atakua ameondoa afadhali ameleta potelea mbali ...............

Hii kauli itaendelea kuwa thabiti kabisa?
 
Wakuu habari zenu
Kuna habari zimezagaa sana juubya kocha wa sasa wa Man City kuja Chelsea Fc baada ya huyu Guus Hiddink kumaliza msimu. Hii habari ni kweli? Lakini kwa mtazamo iwapo ikawa kweli, anafaa kweli? Je tunasonga mbele au tunarudi nyuma?
Daaah club yetu bhana kama tunapoteza mwelekeo kwa mtazamo wangu lakini. Wachambuzi karibuni
 
Kwangu chaguo langu la kwanza lilikuwa Mou tu ao wengine watajuana wenyewe kwanza wamenitibua sana zaidi sana hao wachezaji
 
Kwangu chaguo langu la kwanza lilikuwa Mou tu ao wengine watajuana wenyewe kwanza wamenitibua sana zaidi sana hao wachezaji

Mkuu hata mimi nimeguswa sana kwa kweli kwa kuondoka Chelsea fc, pamoja kwamba naipenda sana Chelsea fc lkn naamini kabisa wachezaji hawakuwa fair kabisa katika kuwajibika kwa timu hasa ukizingatia wanalipwa vizuri. Tofauti zao na kocha zilitakiwa kuishia ndani. Yaani kifupi nimekuwa disappointed sana hata kulipia dstv premium package naona haina maana tena. Shiit
 
Updates
 
Attachments

  • 1450723681298.jpg
    1450723681298.jpg
    52.1 KB · Views: 146
  • 1450723695261.jpg
    1450723695261.jpg
    46.4 KB · Views: 140
According to the-Daily Mail, Chelsea are hoping to use the ?luxury London lifestyle? as a trump card when trying to persuade Pep Guardiola to make the decision of having Chelsea as his next club instead of Manchester City, following the sacking of Jose Mourinho.

Chelsea owner Roman Abramovich won?t give up on his attempt to bring the former Barcelona boss to Stamford Bridge, something which nearly happened back in 2012 until the Spaniard turned the deal down.

The 44-year-old is being-heavily linkedwith the Manchester City job following the news that he?ll be leaving his current club Bayern Munich at the end of the season, but Abramovich is attempting to bring the manager to West London by making him the highest paid manager and giving him significant funds to sign first-team players.

The board at Chelsea now want to make a statement following the sacking of Mourinho, by the landing the biggest name there is.

However, it won?t only be cash that will lure Guardiola to Stamford Bridge. It?s believed that Guardiola?s wife, Cristina Serra, has a preference of living in London rather than Manchester once they leave Germany.
 
Attachments

  • 1450785899730.jpg
    1450785899730.jpg
    14.5 KB · Views: 129
Lampard's wedding
 
Attachments

  • 1450789643595.jpg
    1450789643595.jpg
    11.1 KB · Views: 152
  • 1450789656783.jpg
    1450789656783.jpg
    19.9 KB · Views: 156
  • 1450789669859.jpg
    1450789669859.jpg
    23.2 KB · Views: 151
  • 1450789691785.jpg
    1450789691785.jpg
    18.7 KB · Views: 152
  • 1450789709449.jpg
    1450789709449.jpg
    9.9 KB · Views: 203
  • 1450789723925.jpg
    1450789723925.jpg
    26.2 KB · Views: 148
Mourinho was busy checking with in the streets of London despite the fact that he was invited
 
Nimechukia sana Jose kuondoka darajani!

hawa 3 rats nawachukia zaidi kwa sasa! 10, 19,4
 
Mkuu hata mimi nimeguswa sana kwa kweli kwa kuondoka Chelsea fc, pamoja kwamba naipenda sana Chelsea fc lkn naamini kabisa wachezaji hawakuwa fair kabisa katika kuwajibika kwa timu hasa ukizingatia wanalipwa vizuri. Tofauti zao na kocha zilitakiwa kuishia ndani. Yaani kifupi nimekuwa disappointed sana hata kulipia dstv premium package naona haina maana tena. Shiit

Daah jose' akitua man itaniuma sana kama inavyo niuma kuondoka chelsea,na hakika tukikutana na man U ya jose' tumekwisha tutachezea kipigo kama paka mwizi vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom