Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata mimi binafsi sijafurahishwa na walichofanya wachezaji

we nawe!' sasa wachezaji wamefanyaje?! kama kocha ndio alikua anawafundisha vilee, mbona mpira walikua wanacheza sanaa sema kufunga ndio ilikua ishuu, tatizo ni morinho mwenyewe wala hat si wachezaji ..............morinho anajulikana ni kocha wa short term.
 
Binafsi sio shabiki wa Chelsea. Hata hivyo, "twende mbele, turudi nyuma" kurejea kwa Jose Mounriho kulileta hamasa

kisoka

kwa timu ya Chelsea na EPL kwa ujumla wake hasa, yale maneno yake " based in typical fiery football industry rhetoric".

Mtazamo wangu: Amefadhaishwa sana, amedhalilishwa sana, ameonewa sana katika hili alilofanyiwa.
 
464886082.jpg

Huyu ndiye anayeleta matatizo Chelsick, hawawezi kukubali lakini huo ndio ukweli mpira wake umeshuka kwa kiwango kikubwa na Moreen alipoanza kumweka benchi tu kibarua chake kilianza kuwa matatani. Usione hii front ya mbele kusikitika ni machozi ya mamba. Mna kazi kubwa, kujenga himaya ambayo imejengwa na pesa za wizi sio rahisi.

we anaeleta matatizo kwenye timu yako mbona humtaji ni nani! timu imekaa miaka 11 haijabeba EPL, sijui hata nguvu za kucheka cheka humu unapataga wapi.
 
we anaeleta matatizo kwenye timu yako mbona humtaji ni nani! timu imekaa miaka 11 haijabeba EPL, sijui hata nguvu za kucheka cheka humu unapataga wapi.

Mpe heshima yake huyo kabeba uefa na Europa kawazidi makapteni wa ze gunners wote pamoja na kocha wao period!
 
we nawe!' sasa wachezaji wamefanyaje?! kama kocha ndio alikua anawafundisha vilee, mbona mpira walikua wanacheza sanaa sema kufunga ndio ilikua ishuu, tatizo ni morinho mwenyewe wala hat si wachezaji ..............morinho anajulikana ni kocha wa short term.

Una onekana sio mtu wa mpira kwa sana, leo wameshinda wamefundishwa na nani?
 
colochini scores for newcastle. bad news
for chelsea in relegation battle

yaani we jamaa ni kiazi!' kha, sasa ndio nini umeandikaa, yaani ndio uwezo wako wa kufikiri ulipofikia! kwa taarifa yako ushindi wa leo umetusogeza sana kwa kua ww ni bogazi unaangalia nafasi huangalii point, wiki ijayo tunapanda nafasi ya 12 .............
 
Una onekana sio mtu wa mpira kwa sana, leo wameshinda wamefundishwa na nani?

swali lako ulilouliza ndio unaonekana sio mtu wa mpiraa, kwa hiyo unafikiri wameingia uwanjani bila kufundishwa!??! na zile sabu walikuwa wanajifanyia wenyewe ................ kama vipi hama na huyo morinho wako.
 
Hongereni sana chelsea kwa ushindi mnono na wa kishindo dhidi ya sunderland! Adhma yenu imetimia sasa!
 
yaani we jamaa ni kiazi!' kha, sasa ndio nini umeandikaa, yaani ndio uwezo wako wa kufikiri ulipofikia! kwa taarifa yako ushindi wa leo umetusogeza sana kwa kua ww ni bogazi unaangalia nafasi huangalii point, wiki ijayo tunapanda nafasi ya 12 .............

Hivi leo mmepanda hadi nafasi ya ngapi kumbe?
 
Mafaiaso mmiliki wa Ze Bluuzz alikuwa amekaa na Drogba pembeni ameonekana akipiga makofi alama ya kufurahia matokeo ya mechi 3-1, pia anaonekana kujipongeza kwa mkasi alioupitisha kwa Domokaya.

mkuu vipi ushindi wetu wa jana???
 
Fabrigas,Costa na Hazard SIWAPENDI sana!Mourihno hakustahili usaliti huu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Fabrigas,Costa na Hazard SIWAPENDI sana!Mourihno hakustahili usaliti huu Ntuzu

Kuna watu hawaelewi hili, eti kocha mbovu, hawa wachezaji watatu pamoja na Oscar ndio walokuwa dhidi ya Mou, hakustahili adhabu ile kwa kweli,
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wenza msitegemee pep kuja Chelsea speculation zinasema kuwa pep anaenda man city, ancelloti Bayern, mou man u, kwa hiyo kocha pekee mzuri tunayeweza kumpata ni Diego simeone tukimkosa sasa sijui tutapata wapi kocha mzuri
 
Fabrigas,Costa na Hazard SIWAPENDI sana!Mourihno hakustahili usaliti huu Ntuzu

kwa hiyo hata BR alisalitiwa na wachezaji wake?! mana sahivi wanashinda, au LVG nae anasalitiwa na wachezaji wake kwa kufungwa??! .............
 
Last edited by a moderator:
Hivi leo mmepanda hadi nafasi ya ngapi kumbe?

we hata hujielewi!' kwa hiyo tulivyoshinda jana kwa kuwa tumebaki nafasi ile ile unahisi hakuna kilichofanyika .............. bora ukae kimya tu uonekane mwenye busara.
 
we anaeleta matatizo kwenye timu yako mbona humtaji ni nani! timu imekaa miaka 11 haijabeba EPL, sijui hata nguvu za kucheka cheka humu unapataga wapi.

Kabla ya hiyo miaka Chelsick mlikuwa mmechukua makombe mangapi? BTW makombe yenu mnanunua si unaona dhahama yake? No consistance, no class but immoral behaviour, when the chief culprit dies and the team dies. Itakufa kifo cha mende khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tuombe Mungu Mourinho asije rudi pale darajani akiwa na timu nyingine, hiyo atatupangia kikosi kabambe atuzibue mpaka basi
 
Tuombe Mungu Mourinho asije rudi pale darajani akiwa na timu nyingine, hiyo atatupangia kikosi kabambe atuzibue mpaka basi

Atarudi tu na atatufunga vibaya sn ili kudhihirisha kua yeye anaweza. Ila hatoshangilia sn. Na usiombe akaenda Man Utd. Itakua shida.
 
Kiukweli wewe ndio Domokaya na sio Mourinho.
Hata Ntuzu na Enzo wanajua kuwa Mou ni mpayukaji na domokaya.

Hata FA imeshachukua pesa nyingi tu kwa udomokaya na uapyukaji wa Mou.

Mapenzi yako kwa Moureen yasikufanye kuwa kipofu. Upayukaji na udomokaya wa Mou hauhitaji darubini.

Mafiaso aliamua kwenda kusimamia mazoezi mwenyewe ili kuongeza mori ya wachezaji na jana umeona vipi Mou alikuwa anazuia uchezaji wa aina ile ya jana, attacking football.

Ingawaje jana Chelsea imecheza na timu kimeo lakini ile ndio aina ya mpira ambayo sisi wapenzi wa kandanda tunataka kuangalia na sio kupark lorry au bus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom